Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,576
- 3,094
Ajirq zipo nyingi tu. Anza kwa kuuza Simu hiyo. Nunua ndoo za maji, vifuko na tengeneza maji ya kandoro na maji mengine uwe unauza kwa vikombe. Utapata pesa na acha kuliza humu JF huku umeweka Bundle na unatumia simu ya 600,000 Plus.Sina kazi nashinda na simu muda wote
Nipo nipo tu sina muelekeo wowote
Nimemaliza Chuo mwaka Jana
Lakini mpaka sasa hata Senti Moja Sina
Anza na maeneo yanayokuzunguka na utueleze unapenda nini.Idea zipo nyingi Sana lakini sema uko wapi na unapenda nini.Unaweza hata kuanza kwa kupanda miche ya Mauna na miti kupitia hapo hapo ilipo na ukatumia samadi ya mifugo kuanza kujitafuta then Uanzishe mradi ambao mtaji wake hata elfu ishirini haifiki lakini lazima pia uwe na ujuzi ambapo kama uko maeneo ya pwani na viunga vyake unaweza kuwa enrolled kwenye project ya Regrow inayowezesha maeneo ya uboreshi wa utalii meoneo ambayo utalii uko kiwango kidogo,mradi huu uko chini ya world ban hutalipa xhochote an mradi mwingine uko chini ya ATE TUKTA,fuatilia taarifa muhimu acha kuangalia makalio ya watu kwenye simu yanaongeza laana, hapo mbele utajipata na kuanza kula kwa urefu wa kamba yako.Dont give up Buda.Maisha haya siyapendi
Ila sijui Cha kufanya
Mambo nayo hayaendi
Nashindwa kujikusanya
Mb unatoa wapi?Sina kazi nashinda na simu muda wote
Nipo nipo tu sina muelekeo wowote
Nimemaliza Chuo mwaka Jana
Lakini mpaka sasa hata Senti Moja Sina
Njoo nikupe boda ya mkataba hapa...ila sio unapate hela unaanza kugegeda vitoto vya fomu two na wake za watuMaisha haya siyapendi
Ila sijui Cha kufanya
Mambo nayo hayaendi
Nashindwa kujikusanya
Unaendelea kusubiri miujiza ya mwamposa sioSina kazi nashinda na simu muda wote
Nipo nipo tu sina muelekeo wowote
Nimemaliza Chuo mwaka Jana
Lakini mpaka sasa hata Senti Moja Sina
Acha kujipraud.Me sijaajiliwa nimemaliza chuo mwaka 2020 degree ya industrial metrology and standardization, japo nina uhitaji wa ajira ila sijamua kukaa kinyonge.
Huwa nina msemo wangu kuwa SIMU YANGU OFISI YANGU.
Na kweli kupitia simu yangu nimeweza kufanya mambo mengi ya kimaendeleo ambayo ata watu wengine walio ajiliwa hawajafikia.
Kwasasa online business zimekuwa msaada mkubwa sana kwa vijana Hebu jaribu hilo chaka.
Ukiona mambo hayaendi, basi nenda wewe peke yako na uyaache hayo mambo yenyewe.Mambo nayo hayaendi
Tanzania Kuna vibarua asilimia kubwa ajira ni chache msichanganye bituAjirq zipo nyingi tu. Anza kwa kuuza Simu hiyo. Nunua ndoo za maji, vifuko na tengeneza maji ya kandoro na maji mengine uwe unauza kwa vikombe. Utapata pesa na acha kuliza humu JF huku umeweka Bundle na unatumia simu ya 600,000 Plus.
Pili, tafuta fundi uwe Saudia fundi bro. Acha kujifanya msomi. Pambana mitaani. Ukosjimdwa hiyo, niambie nikupe Mkataba lwenye pikipiki yangu uwe boda maisha yasonge mbele.
Sasa itakuwaje muheshimiwa.Na,nikikumbuka,kikao cha pili kutoka hiki tulichokaa juzijuzi tulikubaliana kwamba kila mwana JF amiliki gari,nyumba na kipato kizuri?Inafikirisha.Sina kazi nashinda na simu muda wote
Nipo nipo tu sina muelekeo wowote
Nimemaliza Chuo mwaka Jana
Lakini mpaka sasa hata Senti Moja Sina