Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Katolewe rinder sasa kama huoni cha kufanyaSina kazi nashinda na simu muda wote
Nipo nipo tu sina muelekeo wowote
Nimemaliza Chuo mwaka Jana
Lakini mpaka sasa hata Senti Moja Sina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katolewe rinder sasa kama huoni cha kufanyaSina kazi nashinda na simu muda wote
Nipo nipo tu sina muelekeo wowote
Nimemaliza Chuo mwaka Jana
Lakini mpaka sasa hata Senti Moja Sina
Pole mdogo wangu. Yatapita na utakaa sawa.Maisha haya siyapendi
Ila sijui Cha kufanya
Mambo nayo hayaendi
Nashindwa kujikusanya
Huna la kunifundishaSio lazima uchangie
Pamoja na yote kuliko kujiliza ntandaoni kuwa hana ajira wala kibarua, ni bora apambane kihivyo.Tanzania Kuna vibarua asilimia kubwa ajira ni chache msichanganye bitu
Tulia dogo kama sio Dar rudi nyumbani utaja nishukuru kama wenzio..Sina kazi nashinda na simu muda wote
Nipo nipo tu sina muelekeo wowote
Nimemaliza Chuo mwaka Jana
Lakini mpaka sasa hata Senti Moja Sina
Mtu kama huyu ni wa kumuonea huruma. Kuna kitu anapitia.We mbona una makasiriko hivyo? 😀😃😄😁 acha kufokea wenzio.
Tafuta intern/volunteer.Sina kazi nashinda na simu muda wote
Nipo nipo tu sina muelekeo wowote
Nimemaliza Chuo mwaka Jana
Lakini mpaka sasa hata Senti Moja Sina
Matajiri mna dharau sana 😂😂😂Ajirq zipo nyingi tu. Anza kwa kuuza Simu hiyo. Nunua ndoo za maji, vifuko na tengeneza maji ya kandoro na maji mengine uwe unauza kwa vikombe. Utapata pesa na acha kuliza humu JF huku umeweka Bundle na unatumia simu ya 600,000 Plus.
Pili, tafuta fundi uwe Saudia fundi bro. Acha kujifanya msomi. Pambana mitaani. Ukosjimdwa hiyo, niambie nikupe Mkataba lwenye pikipiki yangu uwe boda maisha yasonge mbele.
Kumuonea huruma ndio solution ya hiko kitu anachopitia? Mwambie apambane, asishindie simu tu.Mtu kama huyu ni wa kumuonea huruma. Kuna kitu anapitia.
Sijamdharau sister na mi ni maskini tu napiga zangu boda aje kilingeni nimuachie boda yangu 1 mkuu.Matajiri mna dharau sana 😂😂😂
Ww hiyo boda ulinunua kwa kuuza maji ya kandoro??
Kumbe wewe ni bodaboda! Sishangai kwa comments zako maana mmelaaniwaSijamdharau sister na mi ni maskini tu napiga zangu boda aje kilingeni nimuachie boda yangu 1 mkuu.
Boda iko wapi? Maana mnaweza kuwa sehemu tofauti.Sijamdharau sister na mi ni maskini tu napiga zangu boda aje kilingeni nimuachie boda yangu 1 mkuu.
Ya bundle unapata wapi!Sina kazi nashinda na simu muda wote
Nipo nipo tu sina muelekeo wowote
Nimemaliza Chuo mwaka Jana
Lakini mpaka sasa hata Senti Moja Sina
Mtoto wa kiume achana na paparaAiseeeee si kasema mwenyewe anashindia simu na anatafuta ajira mkuu. Nimecheka, naona mnamakasiriko sana leo wakuu.
akama guvu ip0 njoo sait tubebe tofali jion ukatumieSina kazi nashinda na simu muda wote
Nipo nipo tu sina muelekeo wowote
Nimemaliza Chuo mwaka Jana
Lakini mpaka sasa hata Senti Moja Sina
Umecheck mitandaoni, tovuti za embassy za ulaya, UK, za, hapa, nchini na nje?Sina kazi nashinda na simu muda wote
Nipo nipo tu sina muelekeo wowote
Nimemaliza Chuo mwaka Jana
Lakini mpaka sasa hata Senti Moja Sina