Sina kitambi miaka 10 ila baada ya kunywa dawa za minyoo hichoo

Sina kitambi miaka 10 ila baada ya kunywa dawa za minyoo hichoo

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,308
Reaction score
12,812
Wadau nimestushwa sana. Baada ya kunywa dawa za minyoo ziitwazo zantel wiki tu nimeota boonge la ndambi, jf doctor msaada tutani
 
IMG-20251125-WA0056.jpg
 
Dawa ya minyoo ni konyagi we zamtel za nini unaua microbs
 
Back
Top Bottom