Sasa hapo bado kuota kisukari, pressure, na kiharusi. Utajipenda.Wadau nimestushwa sana. Baada ya kunywa dawa za minyoo ziitwazo zantel wiki tu nimeota boonge la ndambi, jf doctor msaada tutani
Acha akaekae na hiyo mimba kidogo hadi minyoo izaliane tena.Duh, pole mkuu, Bora ungeacha kuua hao minyoo waliokusaidia kukuepusha na kitambi kwa miaka mingi.
Kumbe wakati mwingine minyoo ni waziri kuweka mwili fitiAcha akaekae na hiyo mimba kidogo hadi minyoo izaliane tena.
Kabisa hata ukila msosi umechacha wanaseti mitambo otomatic.Kumbe wakati mwingine minyoo ni waziri kuweka mwili fiti
Kwa hiyo Peter Msechu akiingiwa na hawa viumbe atapoteza kitambi na kuwa na umbo kama la Paul Kagame, siyo? 😎.Kabisa hata ukila msosi umechacha wanaseti mitambo otomatic.
kabisa mkuu, anakuwa kama amenyooshwa na pasi.Kwa hiyo Peter Msechu akiingiwa na hawa viumbe atapoteza kitambi na kuwa na umbo kama la Paul Kagame, siyo?
Basi Sina tena ugomvi na hawa viumbe.kabisa mkuu, anakuwa kama amenyooshwa na pasi.