Sina kitu, Bado nipo chuo ila Kuna sauti ya kuoa naisikia moyoni

Sina kitu, Bado nipo chuo ila Kuna sauti ya kuoa naisikia moyoni

Unakuta mtu hajaoa na maisha hana miaka inaenda 30s hali ngumu mke Hana

Naona kama uoga ndio unatusumbua vijana tuliowengi
Sasa huna kitu unaoa ili iwaje kwa mfano? Unataka ukifa mkeo na watoto zako waje kwenye kaburi lako kukulilia au kukulaani kwa dhiki ulizowaachia
 
This is a dumb shit idea ever,huna maisha unataka kuoa ili huyo mke ndiyo akuletee maisha?Tafuta maisha kwanza hiyo ndiyo nyenzo kuu kuliko kuoa kwanza,na hizi mbanga za kulinganisha mafanikio/ndoa na umri ndiyo zinawaua na depression na kuishia shimo la hewa.,ndoa siyo dhumuni kuu la wewe kuletwa duniani.
 
Back
Top Bottom