Sina kitu, Bado nipo chuo ila Kuna sauti ya kuoa naisikia moyoni

Sina kitu, Bado nipo chuo ila Kuna sauti ya kuoa naisikia moyoni

Unakuta mtu hajaoa na maisha hana miaka inaenda 30s hali ngumu mke hana.

Naona kama uoga ndio unatusumbua vijana tulio wengi.
Ukioa ukiwa hauna kitu,utavikosa vyote,make,hiko kitu na watoto.
Go chase you dream fella
 
Oneni huyu
 
Attachments

  • IMG_4347.jpeg
    IMG_4347.jpeg
    68.3 KB · Views: 2
Kama uko serious uwe mkweli kwa huyo malaika siyo unarudi tena huku baada ya kuambiwa "haitoshi"

Ukweli mara nyingi unakuweka huru
 
Unakuta mtu hajaoa na maisha hana miaka inaenda 30s hali ngumu mke hana.

Naona kama uoga ndio unatusumbua vijana tulio wengi.
Pole sana dogo... ila kama your voice from within inakwambia uolewe basi olewa tu mdogo angu sio ishu.
 
Roho ya umasikini na taabu vimeanza kukuandama. Kemea hilo pepo kabla hujachelewa
 
Back
Top Bottom