umasikini unakuita mkuu.Unakuta mtu hajaoa na maisha hana miaka inaenda 30s hali ngumu mke hana.
Naona kama uoga ndio unatusumbua vijana tulio wengi.
Ukioa ukiwa hauna kitu,utavikosa vyote,make,hiko kitu na watoto.Unakuta mtu hajaoa na maisha hana miaka inaenda 30s hali ngumu mke hana.
Naona kama uoga ndio unatusumbua vijana tulio wengi.
Pole sana dogo... ila kama your voice from within inakwambia uolewe basi olewa tu mdogo angu sio ishu.Unakuta mtu hajaoa na maisha hana miaka inaenda 30s hali ngumu mke hana.
Naona kama uoga ndio unatusumbua vijana tulio wengi.
Weee kuna jamii huko kwao hiyo ni achievement namba 1Halafu kuoa/kuolewa is not an achievement