Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Shalom wana Jamii Forum.
Sijui ni kuzeeka vibaya au kuchanganyikiwa. Kila nikirejesha kumbukumbu zangu nyuma, sioni au kuona kama kuna mahali katika hotuba za Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kutamka kinywani mwake neno UFISADI .
Kama yupo mwenye ushahidi atuwekee clipu hapa walau nijue alisema nini kuhusu neno hilo. Alilisemeaje? Binafsi sijawahi kumsikia.