Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
'Scratch my back i will scratch yours'... With such words utaweza kusikia neno ufisadi kweli?Shalom wana Jamii Forum.
Sijui ni kuzeeka vibaya au kuchanganyikiwa. Kila nikirejesha kumbukumbu zangu nyuma, sioni au kuona kama kuna mahali katika hotuba za Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kutamka kinywani mwake neno UFISADI .
Kama yupo mwenye ushahidi atuwekee clipu hapa walau nijue alisema nini kuhusu neno hilo. Alilisemeaje? Binafsi sijawahi kumsikia.
Umemgeuka Tena?'Scratch my back i will scratch yours'... With such words utaweza kusikia neno ufisadi kweli?
2040??!Aliwahi kusema kwenye kitabu chake alichokitoa mwaka 2040, akijutia baadhi ya mambo yaliyofanyika kwenye utawala wake π
Yeye mwenyewe ni fisadi ataweza kupinga ufisadi?Aliporithi tu urais akaanza kujenga mahoteli ya nyota Tano Kila mikoa mikubwa unayoijua Tz n na Dubai n.k