Sina leseni ya Udereva lakini nimeendesha gari miezi sita

Sina leseni ya Udereva lakini nimeendesha gari miezi sita

Ningefunguka humu sema wanoko kibao, ila jua sio bei hiyo uliyotaja, ni cheaper zaidi
Ukipitia kwa vishoka ni bei hiyo mkuu mpaka 180k. Labda utupe muongozo mpya. Mimi nataka kuongeza madaraja mkuu nipe utaratibu km vipi.
 
Back
Top Bottom