Sina matumaini tena ya kuendelea na masomo,mnishauri tu namna ya kumudu maisha

Sina matumaini tena ya kuendelea na masomo,mnishauri tu namna ya kumudu maisha

kama wewe ni KIBAHA BOY kweli unamfahamu MAMA Nyandingo??....unapafahamu Mwanalugali.....unamfahamu KASHINDYE(CASH BABA)...unamfahamu SHASHULA???....nitajie siku za pared pale ni lini na lini???......halafu mwisho kabisa nitajie jina la yule mpishi anayeuza mapisi mida ya jioni.....then utakuwa proved kama kweli wewe ni KIBAHA BOY.....afu ma ALUMNI tutakusaidia

kaka wote hao nawapata,tena umesahau javisco vp unapajua kwa mzee said?,paredi pale ni j'tatu na alhamisi mpishi wa mapisi walikuwa weng,namkumbuka mama bonge wa mwanalugali,tena huku sauzi alikuwa mama anna anatoa mapis ya bili..tena enzi zile aliwah kutufundisha mjapan mmoja hv aliitwa Yosuke idda...wengine nimewasahau
 
Back
Top Bottom