asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
Si kosa lako, Alisema Sigmund Freud katika psychology.
Google hii kitu,
^ https://en.wikipedia.org/wiki/Electra_complex ^ na Oedipus complex - Wikipedia, the free encyclopedia
Nitashukuru, may be tuonane leo kesho nitakuwa safarini.....
am watching...:wacko:
nafuatilia kwa karibu.:spy:
Ni kweli auchukue sio tena aanze ku U COMMENT HATA USHAURI HUU,Unaweza kukuta ana comment kuwa hausiki/hakuna linalomgusa wakati nilishasema yeye mwenyewe hawezi kujiju especially when it comes to weakness.sijui kama amesha comments kwenye hili...Inabidi achukue ushauri huu na aufanyie kazi
Ngoja tu ninyamaze.....
katika uliyoongea hakuna hata kimoja kinachonihusu
ahsante
hiyo ni stage ya ukuaji na hutokea kwa watoto kati ya miaka 2 na nusu mpaka mitano na nusu ,,,,, kwa huyu haiwezi kuaapply
nafuatilia kwa karibu.:spy:
Ahhh kumbe u mesha comments,
Anyway ni mawazo tu,Naomba kwa ajili yako kesho jumapili.
Mungu akupe nguvu na Maarifa EVE....
"Utayaweza yote kwake Kristu akutiaye nguvu"Philip 4:13.
nafuatilia kwa karibu.:spy:
am watching...:wacko:
:clap2: safari ya Chuda inanukia ngoja nizame PM hapa wanoko mmesha anza
huko ndiyo utapotea kabisaa kwani taarifa za PM huwa nampatia mimi mwenyewe..:target:
Teh komaa hivo hivo, abiria chunga mzigo wako!!!!!!
Jitahidi kwa kila namna uwe nae karibu
Piga nae stori, muulize maswli ya kimaisha, mtanie, mwombe ushauri
Kuwa karibu na mama ni kitu kizuri sana
Mwanzoni nilikua namwogopa sana mama kwani alikua mkali na ukikosea anachapa na kufinya balaa, ila nimekua sasa na ananisaidia mambo kibao na amekuwa kama rafiki na hawezi kunisaliti
Kama hajakulea inaweza kuwa sababu pia ila la msingi jitahidi kila unapo muwaza baba ndo muda huo unampigia sim na mama au kama upo karibu pay her a vizt inaweza kukusahidia kuwa karibu naye kiasi furani..
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Daah! Nimeisoma hii thread, naona ni something imposible kwa mtu wa umri wako kutokuwa na mzuka na mama yake, although i bealive, cha muhimu dadangu ebu kumbuka everything ambacho mama al4kuwa anafanya kuhusu ww, she cana do anything for you, ikiwa ni pamoja na kukupiga, kukutukana na kukushauri yote hayo ameyafanya ili kukujenga mpaka ukawa kama ulivyo sasa(msomi)hata ww mwenyewe umekiri hivyo. Please mshirikishe kwenye mambo yako hata ya uhusiano, i bealive hapendi akuone ukiteswa na jambo.
Itabidi nizae soon ila akili inikae sawa eeehh teh!!!!!
ahsante kwa ushauri wako sister