Sina mzuka na mamito wangu...

Sina mzuka na mamito wangu...

pole sana Evelyn Salt , mimi mama namzuka naye sana japo wakati mwingine naweza kujisahau ila bila yeye sasa hivi nisingekuwa who i am.

cha muhimu jaribu kusahau hayo ya zamani na kufungua new pages za maisha yako na jaribu kujilazimisha hivyo hivyo kujiweka karibu yake utashinda tu hayo majaribu my dia.
inawezekana kuna mambo ambayo unaamini baba yako alikuwa anakufanyia kabla hajatangulia mbele ya haki ambayo labda mama yako hakukufanyia baada ya baba kufariki au kuna mambo ambayo unaamini baba angekufanyia kama angekuwa hai ambayo mama hakukukufanyia au hakufanyii.

pia kunauwezekano hizo beliefs za bi mkubwa wako anashare na huyo mtoto mwingine unayeamini anapendwa zaidi , sasa kuna uwezekano kwanini yeye na siyo mimi ila kumbuka ukaribu hauji ghafla bali hujengwa taratibu na mwisho wa siku utajikuta she was your everything.

pole sana.:busu
 
Last edited by a moderator:
Jambo hili mi linanikosesha amani,
nishajaribu mara kadhaa kujenga ukaribu bila mafanikio, kama vile kujizoesha atleast kuwa namtext nikiwa mbali
lakini haichukui hata wiki naacha na huwa nakuwa mzito sana kumpigia simu.
Huwa natamani sana watu wanaoishi na mama zao kama rafiki zao kwangu mie tofauti kabisa sio kuwa simpendi ila tu ule mzuka nae ndo sina hata nikiwa na shida siwezi kumshirikisha.
I love much my daddy bahati mbaya alishatangulia mbele za haki (R.i.p my lovely one)
Ushauri please nifanyeje nijenge ukaribu nae
Kaunga naomba uniambie kitu....
(Matusi na kejeli sitaki hili jambo linaniumiza mie kama hujisikii kushauri uache)

Nawatakieni weekend njema!!!!!
Nimekupenda ghafla!!!
 
Nashukuru sana....
ila sina hayo mawazo kuwa flani anapendwa zaidi angu, najua mummy angu ananipenda!!!!!!!!
 
Na wewe pia????

Mine is deeper na mbaya zaidi najua chanzo ambacho nashindwa kukisahau na kukifuta. Post ya dDa Mkubwa King'asti imenigusa sana isipokuwa tu ni kuwa pamoja na uzee huu nilonao bado...............I think I need a big therapy
 
Last edited by a moderator:
Mine is deeper na mbaya zaidi najua chanzo ambacho nashindwa kukisahau na kukifuta. Post ya dDa Mkubwa King'asti imenigusa sana isipokuwa tu ni kuwa pamoja na uzee huu nilonao bado...............I think I need a big therapy

duh! pole sana , natamani ningekuwa naweza kutoa msaada kwenu nyote wawili.
 
Nahitaji ushauri jinsi ya kujenga ukaribu na maza angu
sio maneno ya kuzidi kuniumiza, hii situation nilonayo inatosha kuniumiza
ahsante.

wenyewe wanasema usawa unakaba na rafiki wa kweli ni baba na MAMA hao wengine wala usiwaamini kwani binadamu wa sasa wana roho saba..prof jay aliimba hivyo...pole sana
 
Hilo ni tatizo really.
Lazima uangalie umekwama wapi, unajua wamama mabinti za wakikua wanajisikia kuwa karibu nao sana sana. Me my mum tulikuwa kama friends yan tunashare kila kitu except relationship (nilikuwa msiri). Lakini nguo, mikoba, makeup yan kama ninatoka nyumbani naenda mahali lazima aniite anitazame kama kweli nimependeza au anaweza niweka nywele vizuri au aniongezee kibanio kwenye nywele. Yan sokoni shopping wote, nikikaa pembeni yake iwe shughulini au nini. Yan hadi ilifika stage baba akawa anatuonea wivu.
Rest in peace mummy...
Jitahidi nakuambia ukweli ur mum is suffering kwa hii tabia yako, unajua wanawake tunapenda kukaa na vitu rohoni na hiki ndicho mama yako anaffanya anaumia ndani kwa ndani.
 
Fanya pole pole jizoeshe kumnunulia zawadi kidogo kidogo, muonyeshe jinsi gani unapenda hata kwa text like mama nimekumicje yeah,
angalia hii itakuja kukuumiza sana mama yako mungu akimchukua ghafla utabaki sema ningejua duuh wakati ni huu fanya mabadiliko sasa. Amini nikumbiacho ur mummy ndio best friend wa ukweli na wa mwisho ambae anaweza sacrifice maisha yake kwa ajili yako, anayeweza kukutunzia vyote vyake, siku ikiumwa yupo radhi hata kukusafisha m...vi yako who else will do that?? Love ur mum upate baraka tele
 
Jambo hili mi linanikosesha amani,
nishajaribu mara kadhaa kujenga ukaribu bila mafanikio, kama vile kujizoesha atleast kuwa namtext nikiwa mbali
lakini haichukui hata wiki naacha na huwa nakuwa mzito sana kumpigia simu.
Huwa natamani sana watu wanaoishi na mama zao kama rafiki zao kwangu mie tofauti kabisa sio kuwa simpendi ila tu ule mzuka nae ndo sina hata nikiwa na shida siwezi kumshirikisha.
I love much my daddy bahati mbaya alishatangulia mbele za haki (R.i.p my lovely one)
Ushauri please nifanyeje nijenge ukaribu nae
Kaunga naomba uniambie kitu....
(Matusi na kejeli sitaki hili jambo linaniumiza mie kama hujisikii kushauri uache)

Nawatakieni weekend njema!!!!!

POLE SANA SANA EVE.....
Mtazamo wangu ni kuwa inaonekana una dharau.....inawezekana hujijui lakini kwa chochote ulichonacho huona wewe ndo wewe....Inawezekana hata marafiki zake mama yako yaani majirani wanaokuja hapo nyumbani wameshamueleza mama yako jinsi ulivyo/nae akakusoma akaona ndivyo ulivyo kujisikia....mama mzazi anawafahamu watoto wake vema sana kuliko mtu yeyote....
jaribu kukaa nae na kupiga nae story atakueleza jinsi ulivyo,inawezekana yeye anakueleza madhaifu yako wewe una comments sanaaa,una compare na wengine wakati muhusika ni wewe au hoji kutafuta sababu na kukuta mzuka unapotea na kubaki na Baba Mdogo ambaye hajui uchungu wako kama mama yako anarembaremba anapokuwa na wewe.... una ignore,hakuna mazazi anaemchukia mwanae at a Normal situations.
Mungu akubariki sana sana upokee positive nilichokueleza....
 
kumbe una akili eeh nilidhani muda wote unawaza papuchi tu

monaco, sometimes huwa hata sio dharau............. mwenyewe unajikuta roho inauma sana tu as to why siko karibu na my mom, but you cant help it hata ukijaribu kiasi gani. Just imagine kama kutuma sms tu inakuwa ngumu sembuse kukaa nae na kuzungumza? Mie ninaamini kabisa kuwa hili swala linahitaji saikolojia zaidi kuliko ushauri wa nadharia. Kukaa chini na kuzungumzia kwa kina nini kinasumbua. Kwa hali ilivyo siamini kabisa kuwa hajui chanzo..................... hapana. Chanzo kipo na pengine hayuko tayari kukizungumzia au hajui kama ni kitu ambacho kinawezamtenganisha na mamake. Chanzo kipo................... no matter how hard she tries to deny, but chanzo kipo na anakijua.
 
Last edited by a moderator:
Ooops. You need help. Sio nzuri kiafya na kiimani pia kumuota mtu aliefariki.

Mamangu alipofarimi i said a special prayer kwa ajili yake na kuomba Mungu nisimuote wala kuhusiana nae. Gal, you need to let go and accept she is gone. Ongea na mtumishi wa kiimani tafadhali, ama uende kwa ajili ya ishauri nasaha. Naweza kukuelekeza kwa dr mzuri sana anaetumia insurance cards (ila yuko handsome, tusije tukalaumiana shosti)
kwangu mimi mama alikuwa zaidi ya mama....kifo tu ndo kimetutenganisha....ila namshukuru mungu namuona ndotoni kila siku
 
Ooops. You need help. Sio nzuri kiafya na kiimani pia kumuota mtu aliefariki.

Mamangu alipofarimi i said a special prayer kwa ajili yake na kuomba Mungu nisimuote wala kuhusiana nae. Gal, you need to let go and accept she is gone. Ongea na mtumishi wa kiimani tafadhali, ama uende kwa ajili ya ishauri nasaha. Naweza kukuelekeza kwa dr mzuri sana anaetumia insurance cards (ila yuko handsome, tusije tukalaumiana shosti)
i don care kama ni mbaya kiimani as long it makes me happy my dear...
 
POLE SANA SANA EVE.....
Mtazamo wangu ni kuwa inaonekana una dharau.....inawezekana hujijui lakini kwa chochote ulichonacho huona wewe ndo wewe....Inawezekana hata marafiki zake mama yako yaani majirani wanaokuja hapo nyumbani wameshamueleza mama yako jinsi ulivyo/nae akakusoma akaona ndivyo ulivyo kujisikia....mama mzazi anawafahamu watoto wake vema sana kuliko mtu yeyote....
jaribu kukaa nae na kupiga nae story atakueleza jinsi ulivyo,inawezekana yeye anakueleza madhaifu yako wewe una comments sanaaa,una compare na wengine wakati muhusika ni wewe au hoji kutafuta sababu na kukuta mzuka unapotea na kubaki na Baba Mdogo ambaye hajui uchungu wako kama mama yako anarembaremba anapokuwa na wewe.... una ignore,hakuna mazazi anaemchukia mwanae at a Normal situations.
Mungu akubariki sana sana upokee positive nilichokueleza....

Ngoja tu ninyamaze.....
katika uliyoongea hakuna hata kimoja kinachonihusu
ahsante
 
Back
Top Bottom