asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
pole sana Evelyn Salt , mimi mama namzuka naye sana japo wakati mwingine naweza kujisahau ila bila yeye sasa hivi nisingekuwa who i am.
cha muhimu jaribu kusahau hayo ya zamani na kufungua new pages za maisha yako na jaribu kujilazimisha hivyo hivyo kujiweka karibu yake utashinda tu hayo majaribu my dia.
inawezekana kuna mambo ambayo unaamini baba yako alikuwa anakufanyia kabla hajatangulia mbele ya haki ambayo labda mama yako hakukufanyia baada ya baba kufariki au kuna mambo ambayo unaamini baba angekufanyia kama angekuwa hai ambayo mama hakukukufanyia au hakufanyii.
pia kunauwezekano hizo beliefs za bi mkubwa wako anashare na huyo mtoto mwingine unayeamini anapendwa zaidi , sasa kuna uwezekano kwanini yeye na siyo mimi ila kumbuka ukaribu hauji ghafla bali hujengwa taratibu na mwisho wa siku utajikuta she was your everything.
pole sana.:busu

Last edited by a moderator: