amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
best kweli kabisa binafsi sijalelewa na mama wala baba wazazi walitengana mdogo nikiwa na 3 years dingi kwa frustration hadi leo hajaoa na hajazaa tena mama akaolewa tena nimelelewe na mamamkubwa miaka yote mapebzi yangu yalikuwa sana kwa mamkubwa na baba mama si sana ila ukubwa ulivonifika mwenyewe nikajirudisha na sasa ni bonge la fighter kwangu dah mpaka nasema sijui ingekuwaje asingekuwepo kuna vitu mama peke yake anaweza kukusimamia hata mtu aweje na uhusiano na wewe mama peke yake Evelyn Salt kugundua hilo ni tiba tosha taratibi utaelewa tu.
Hasa uchungu ukukushika ni mama pekee ninayeweza kumuambia na nitampigia kwa uchungu na kilio juu baada ya hapo at least nakuwa sawa.
Imagine mie ambae niliweza ishi miaka zaidi ya 6 sijaonana nae hata simu hakuna kuongea na wote tupo tz hii na yeye the same hawezi fanya kitu bila kuniambia na kunishirikisha.
Halafu ukituona sasa utafikiri mtu na mdogo.
Mama kwangu ni first piority akifuatiwa na mdogo wangu wa mwisho nawapenda sana i cant control my self

My dear, natamani kukuuliza umri wako. Lakini kadri unavyokua mkubwa ndipo ukaribu na mama utakuja naturally. Unless one of you is a character. Kuna issues ukikutana nazo utatamani sana kushare na utamuamini mama pekee. Mie ni mtoto wa baba, lakini niamini; ukubwa ulinifanya niwe karibu na mama automatikale.
Ushauri wangu...jitahidi kumpenda na kumthamini wakati yupo. Kuna siku utaamka nae atakuwa hayupo. Appreciate at least she is keeping your home(ukirudi home ukakuta hakuna aliefagia na kila kitu kiko misplaced utahuzunika mno!). Usijilazimishe kumuambia i love you, na usiamini wanaoandika fb 'i love mom' sijui na nini! Wengi wanaandika tu na hawawaambii mama zao hayo maneno. Telax, you are normal!
Last edited by a moderator: