Sina mzuka na mamito wangu...

Sina mzuka na mamito wangu...

best kweli kabisa binafsi sijalelewa na mama wala baba wazazi walitengana mdogo nikiwa na 3 years dingi kwa frustration hadi leo hajaoa na hajazaa tena mama akaolewa tena nimelelewe na mamamkubwa miaka yote mapebzi yangu yalikuwa sana kwa mamkubwa na baba mama si sana ila ukubwa ulivonifika mwenyewe nikajirudisha na sasa ni bonge la fighter kwangu dah mpaka nasema sijui ingekuwaje asingekuwepo kuna vitu mama peke yake anaweza kukusimamia hata mtu aweje na uhusiano na wewe mama peke yake Evelyn Salt kugundua hilo ni tiba tosha taratibi utaelewa tu.
Hasa uchungu ukukushika ni mama pekee ninayeweza kumuambia na nitampigia kwa uchungu na kilio juu baada ya hapo at least nakuwa sawa.
Imagine mie ambae niliweza ishi miaka zaidi ya 6 sijaonana nae hata simu hakuna kuongea na wote tupo tz hii na yeye the same hawezi fanya kitu bila kuniambia na kunishirikisha.
Halafu ukituona sasa utafikiri mtu na mdogo.
Mama kwangu ni first piority akifuatiwa na mdogo wangu wa mwisho nawapenda sana i cant control my self
My dear, natamani kukuuliza umri wako. Lakini kadri unavyokua mkubwa ndipo ukaribu na mama utakuja naturally. Unless one of you is a character. Kuna issues ukikutana nazo utatamani sana kushare na utamuamini mama pekee. Mie ni mtoto wa baba, lakini niamini; ukubwa ulinifanya niwe karibu na mama automatikale.
Ushauri wangu...jitahidi kumpenda na kumthamini wakati yupo. Kuna siku utaamka nae atakuwa hayupo. Appreciate at least she is keeping your home(ukirudi home ukakuta hakuna aliefagia na kila kitu kiko misplaced utahuzunika mno!). Usijilazimishe kumuambia i love you, na usiamini wanaoandika fb 'i love mom' sijui na nini! Wengi wanaandika tu na hawawaambii mama zao hayo maneno. Telax, you are normal!
 
Last edited by a moderator:
Kuna kipindi mama alikuwa ananifanya nisijione kama mwanamke hivi, ila nikikumbuka alipolia nilipofikisha miaka kumi, najua uchungu wake. She is everything.
Najua kitu kimoja kuwa siku nikiumwa au ikatokea nikafa mama na baba pekee ndio hata wawe na shughuli nyingi kiasi gani watajitahidi kufika au wakishindwa wataomba kwa ajili yangu. Take this from me. However evil they might be, they are the only people who chose to make you alive and struggle for your life.
 
1. nilivokuwa form two 2004 yani mzuka uliniisha kabisa
2.mama hana tatizo huwa ananicol, mapenzi anaonesha kwangu ila mie ndo shida kurespond kwenye hayo mapenzi
3.tupo 5, two girls mi na sis angu, na 3 boys
4.yap nahisi hivo, pia nnavohisi mie anadhani sina mzuka nae kwa sababu ya elimu kitu ambacho wala mie sina make bila yeye hata nisingekuwa na hii elimu
Hata nikikosa kidogo ananambia "kama wasomi ndo mpo hivi kazi ipo"
huwa sielewi why anahusisha elimu yangu kwenye vitu mbalimbali
5.hata jana tu kishanigombeza na namuona leo anafeel guilt make ananibembeleza sana lakini ndo hivo mi nipo kawaida tu
6. yap ma mkubwa nampenda na hua naongea nae vz lakini mzazi nnaempenda sana hata nikiwa na shida namwambia ni baba angu mdogo

Matatizo na mama yako yako kwenye hayo mambo uliyo orodhesha nafikiri ukijaribu kutafakari uliyo yaandika utapata suluhu. alaf jaribu kufikiri
 
best kweli kabisa binafsi sijalelewa na mama wala baba wazazi walitengana mdogo nikiwa na 3 years dingi kwa frustration hadi leo hajaoa na hajazaa tena mama akaolewa tena nimelelewe na mamamkubwa miaka yote mapebzi yangu yalikuwa sana kwa mamkubwa na baba mama si sana ila ukubwa ulivonifika mwenyewe nikajirudisha na sasa ni bonge la fighter kwangu dah mpaka nasema sijui ingekuwaje asingekuwepo kuna vitu mama peke yake anaweza kukusimamia hata mtu aweje na uhusiano na wewe mama peke yake Evelyn Salt kugundua hilo ni tiba tosha taratibi utaelewa tu.
Hasa uchungu ukukushika ni mama pekee ninayeweza kumuambia na nitampigia kwa uchungu na kilio juu baada ya hapo at least nakuwa sawa.
Imagine mie ambae niliweza ishi miaka zaidi ya 6 sijaonana nae hata simu hakuna kuongea na wote tupo tz hii na yeye the same hawezi fanya kitu bila kuniambia na kunishirikisha.
Halafu ukituona sasa utafikiri mtu na mdogo.
Mama kwangu ni first piority akifuatiwa na mdogo wangu wa mwisho nawapenda sana i cant control my self

Nimekuelewa mpendwa ahsante....
 
aisee na mimi ninatafuta mdada wa kuzaa naye very soon, lets do that project together, I hope it will be accomplished successfully .
Thanks in advance for your acceptance.

Poa tufanye kuonana!!!!!!!!!
 
Matatizo na mama yako yako kwenye hayo mambo uliyo orodhesha nafikiri ukijaribu kutafakari uliyo yaandika utapata suluhu. alaf jaribu kufikiri

haya rutta ahsante....
nitajitahidi kutafuta suluhu ya hili jambo!!!!
 
naamini bado ujashindwa kabisa kuwa karibu na mama yako, ni muhimu sana jaribu vovyote vile uhakikishe unakuwa nae karibu
 
Pole sana dear
Mimi kwa kweli i can not imagine kukosa mzuka na mother sababu ndio wa mtu wa kuondoa doubts zangu zote na ndio mshauri na msiri wangu.
Pia huwa nakumbuka sana scenes za utotoni za vitu alivyokua anajitolea kwa ajili ya kutulea kwa kweli du.
Pia ni best wa dingi lakini tokea nimejifungua aisee ubest na mama ndio umezidi
Muombe mungu naimani mapenzi yatakuja kwa mamito wako

Ahsante kwa ushauri mpendwa....
nitafanya hivo
 
mi huwa nanyamaza tu siwezi kumjibu mami angu hata kuargue nae sijawahi asee!!!!

hapo ndipo unapokosea, usinyamaze tu, atleast omba samahani na mwambie kuwa kweli umekosa. Kunyamaza kimya its a kind of dharau pia. Alafu dont be over confident before ur mom, wasomi wengi wanayo hii na huwa inawakwaza sana wazazi.
 
msamaha huwa naomba baadae akishamaliza kuongea yeye mi sioni kama ni busara ye anaongea
nami naongea!!!!!
 
1. Unafikiri ni kitu gani kinakufanya uwe karibu na mama mkubwa wako au baba mdogo wako?
2. Ni quality gani walizo nazo hao ulo karibu nao zinakufanya uwe huru nao?

Nitakuja kwenye angle ya 'usomi' baadaye.
 
Back
Top Bottom