Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,494
1. nilivokuwa form two 2004 yani mzuka uliniisha kabisa
2.mama hana tatizo huwa ananicol, mapenzi anaonesha kwangu ila mie ndo shida kurespond kwenye hayo mapenzi
3.tupo 5, two girls mi na sis angu, na 3 boys
4.yap nahisi hivo, pia nnavohisi mie anadhani sina mzuka nae kwa sababu ya elimu kitu ambacho wala mie sina make bila yeye hata nisingekuwa na hii elimu
Hata nikikosa kidogo ananambia "kama wasomi ndo mpo hivi kazi ipo"
huwa sielewi why anahusisha elimu yangu kwenye vitu mbalimbali
5.hata jana tu kishanigombeza na namuona leo anafeel guilt make ananibembeleza sana lakini ndo hivo mi nipo kawaida tu
6. yap ma mkubwa nampenda na hua naongea nae vz lakini mzazi nnaempenda sana hata nikiwa na shida namwambia ni baba angu mdogo
1. Unafikiri ni kitu gani kinakufanya uwe karibu na mama mkubwa wako au baba mdogo wako?
2. Ni quality gani walizo nazo hao ulo karibu nao zinakufanya uwe huru nao?
Nitakuja kwenye angle ya 'usomi' baadaye.