Ahsante mh mjumbe, hawa jamaa ujumbe wameupata.Vodacom Tanzania wanajuta kunipiga tafu, sina mpango wa kuwalipa labda wanifungie huduma ya M-Pesa
Ujanja nao hawauachi, wanafidia kwa njia zingine kama kupandisha vifurushiAhsante mh mjumbe, hawa jamaa ujumbe wameupata.
Na nina uhakika hata wao watapata jasara kubwa sana itakayo sababshwa na zoezi hili linalo endelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ebu nipe mtonyo nami niwavune hawa jamaa...Katika watu tunaonufaika na voda, me nanufaika kwa 82%
kasemaje kwani?Baba Mchungaji hivi umeisikia kauli ya Muheshimiwa wa Daslam kwa wale wote wasio na namba ya kitambulisho? Teh
Nenda kasajili taarifa za M PESA zinapotea unaanza upyaVodacom Tanzania wanajuta kunipiga tafu, sina mpango wa kuwalipa labda wanifungie huduma ya M-Pesa
Wamesitisha kukopesha na ile SONGESHA haipo tenaAhsante mh mjumbe, hawa jamaa ujumbe wameupata.
Na nina uhakika hata wao watapata jasara kubwa sana itakayo sababshwa na zoezi hili linalo endelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishasajili mkuu
Mama mchungaji, minaona hiyo kauli inafanana na wanaume wa huko Daslam...tehBaba Mchungaji hivi umeisikia kauli ya Muheshimiwa wa Daslam kwa wale wote wasio na namba ya kitambulisho? Teh
Mkuu, kwakifupi sana alikuwa anahutubia kuhusu umbeakasemaje kwani?
Kasema hivyo eti waliendekeza iko alichokisema na ndio sababu mpaka leo hawana namba. 😀kasemaje kwani?
Hahahaaa!! Hivyo kumbe Baba Mchungaji haikuhusu eee? Basi nikajua na wewe ni wa Daslamu eti.Mama mchungaji, minaona hiyo kauli inafanana na wanaume wa huko Daslam...teh
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama mchungaji, mimi nipo huku Lyambamgongo, Kashelo ndanindan wilayani Bukombe, Ushirombo.....Hahahaaa!! Hivyo kumbe Baba Mchungaji haikuhusu eee? Basi nikajua na wewe ni wa Daslamu eti.
Oooh. Kumbe.Mama mchungaji, mimi nipo huku Lyambamgongo, Kashelo ndanindan wilayani Bukombe, Ushirombo.....
Sisi huku tuliwahi kumlaza mkuu wa kaya nje ya nyumba yake akiwa na mwili wake kama alivyo zaliwa...teh[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
#WAFUNGE TULaini yangu ya Vodacom:-
BALANCE
1. Salio la kawaida Tsh 0.00
2. Salio la M-PESA Tsh 0.00
3. Salio la M-PAWA Tsh 0.00
MADENI
1. Nipige tafu deni Tsh 3,000/=
2. M-Pawa deni Tsh 72,000/=
3. SONGESHA deni Tsh 57,500/=
Laini haijasajiliwa kwa alama za vidole, Sina namba ya kitambulisho cha NIDA na hivyo nasubiri maamuzi ya TCRA, nipo tayari kwa loloteView attachment 1327984View attachment 1327985
Sent using Jamii Forums mobile app