Sina namba ya kitambulisho cha NIDA na hivyo nasubiri maamuzi ya TCRA, nipo tayari kwa lolote

Sina namba ya kitambulisho cha NIDA na hivyo nasubiri maamuzi ya TCRA, nipo tayari kwa lolote

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
40,828
Reaction score
99,523
Laini yangu ya Vodacom:-

BALANCE

1. Salio la kawaida Tsh 0.00
2. Salio la M-PESA Tsh 0.00
3. Salio la M-PAWA Tsh 0.00

MADENI

1. Nipige tafu deni Tsh 3,000/=
2. M-Pawa deni Tsh 72,000/=
3. SONGESHA deni Tsh 57,500/=

Laini haijasajiliwa kwa alama za vidole, Sina namba ya kitambulisho cha NIDA na hivyo nasubiri maamuzi ya TCRA, nipo tayari kwa lolote
IMG-20200119-WA0016.jpeg
tapatalk_1577347409835.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kasemaje kwani?
Kasema hivyo eti waliendekeza iko alichokisema na ndio sababu mpaka leo hawana namba. 😀

Hahahaaa!! Hivyo kumbe Baba Mchungaji haikuhusu eee? Basi nikajua na wewe ni wa Daslamu eti.
Mama mchungaji, mimi nipo huku Lyambamgongo, Kashelo ndanindan wilayani Bukombe, Ushirombo.....
Sisi huku tuliwahi kumlaza mkuu wa kaya nje ya nyumba yake akiwa na mwili wake kama alivyo zaliwa...teh[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama mchungaji, mimi nipo huku Lyambamgongo, Kashelo ndanindan wilayani Bukombe, Ushirombo.....
Sisi huku tuliwahi kumlaza mkuu wa kaya nje ya nyumba yake akiwa na mwili wake kama alivyo zaliwa...teh[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh. Kumbe.

Ndio Muandae masanduku ya barua sasa Baba Mchungaji kwani hiyo itakuwa njia rahisi ya kuwapata. 😀
 
Back
Top Bottom