kaka tatizo lako dogo sana..iyo hali mbona inatibika kwa urahisi mno..fanya hivi.,:kuna zoezi linaitwa keggell system..yan hilo linafanya uume wako uwe imara sana na kuweza ku2mia muda mrefu bila kumwaga mapema., sasa linafanywaje? chini ya pumbu ze2 au zako because sisi wote ni wanaume., kuna vishipa vidogo vinaitwa pobbococyte au PB hivyo vinacontrol brain na uume ,kwa ufupi vipo katikati ya ****** na pumbu.,hata ukiwa unakojoa ukishika hapo utaona kuna mshipa ..sasa wakati wa kukojoa ushike huo mshipa alafu fanya kama unazuia mkojo kutoka.,fanya ivyo ivyo mara tatu kwa cku alafu utakuja kuniambia..,kingine kula sana karanga na nazi pamoja na maji mengi na mazoezi pia..kila la kheri