teh teh teh,kijana umenichekesha sana.kwanza nianze kwa kukupa pole,kama walivyo tangulia wenzangu hapo juu. Ni kwamba huna tatizo kabisa,tatizo lako wewe ni kwamba ujiamini kabisa unapokuwa na mrembo kitandani.
Nacho kushauri: unapo anza game inabidi ujiamini,na usiweke akili yako kwenye tendo usika,kwani ukiweka akili kwenye tendo utamaliza game haraka,wakati unaendelea na game ukihisi unafikia mshindo wa kwanza chomoa na kumwaga nje.hiyo itakusaidia kupata nguvu ya kuendelea na ngwe ya pili,kwani ukisema umalizie ndani hutoweza kwani wewe unaonekana ukihisi inasinyaa tu unakata tamaa moja kwa moja kitendo kinacho pelekea jamaa kulala kabisa.
Pia kitu kingine jaribu kula vyakula ambavyo vina virutubisho vya kujena mwili.Mkuu mimi ni muathirika mkubwa wa ponyeto,tangu nikiwa daresa la saba mpaka sasa ni miaka 16 na bado naendelea na aka kamchezo,na per day kuna wakati nilikuwa na piga mpaka mara 3-5.na sijapata tatizo lolote pia nina uwezo wakuunganisha magoli ndani kwa ndani.Hivyo usiwe na wasi wasi kabisa eti umepungukiwa na nguvu za kiume.
Mkuu inabidi na wewe unipe ushauri ni fanye kitu gani na mimi ni wezekuacha huu mchezo,kwani mpaka rfk yangu wa kike anajua hili swala na amejaribu kunikemea niache nime shindwa,naweza kuacha kwa siku tatu ya nne na chemsha.maana rfk yangu huyu hawezi kunifikisha ninapotaka niki piga moja tu anadai amechoka na mimi ndio kwanza moto unakolea,hivyo inanibidi nikamalizie kwa kupiga nyeto.na mimi naomba msaada wakuachana na hii kitu pls.