Son of a Pagan
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 359
- 542
Habari zenu wanaJF
Nimekuwa nikiona watu wanasalimiana kwa majina, na ni dhahiri baadhi wanafahamiana kabisa.
Hali iko kipekee kwangu ambaye ni kama mwaka sasa tangu nimejiunga... sina ninayemfahamu bado.
Nahisi kuanzia leo ntapata marafiki, ambao tutajuliana hari na hata kushirikishana hili na lile katika maeneo yetu...
Kwa kifupi;
1. Mimi ni mzaliwa wa Kagera.
2. Nimesomea maeneo mbalimbali (Kagera, Kigoma, Geita, Lindi na sasa nipo Dodoma).
3. Ni kijana ninayependa marafiki waliochangamka na wakweli.
5. [emoji4][emoji4]
NB: kama hauna rafiki, unga tela hapa.