Sina rafiki wa karibu bado

Sina rafiki wa karibu bado

Son of a Pagan

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
359
Reaction score
542
Habari zenu wanaJF

Nimekuwa nikiona watu wanasalimiana kwa majina, na ni dhahiri baadhi wanafahamiana kabisa.

Hali iko kipekee kwangu ambaye ni kama mwaka sasa tangu nimejiunga... sina ninayemfahamu bado.

Nahisi kuanzia leo ntapata marafiki, ambao tutajuliana hari na hata kushirikishana hili na lile katika maeneo yetu...

Kwa kifupi;
1. Mimi ni mzaliwa wa Kagera.
2. Nimesomea maeneo mbalimbali (Kagera, Kigoma, Geita, Lindi na sasa nipo Dodoma).
3. Ni kijana ninayependa marafiki waliochangamka na wakweli.
5. [emoji4][emoji4]

NB: kama hauna rafiki, unga tela hapa.
 
Hatuhitaji jua umezaliwa Nanjirinji au Magogoni!, tunachohitaji kujua ni mpenzi wa jukwaa lipi hapo tu ndio kick starter!..
 
Hatuhitaji jua umezaliwa Nanjirinji au Magogoni!, tunachohitaji kujua ni mpenzi wa jukwaa lipi hapo tu ndio kick starter!..
Ni mpenzi wa jukwaa la siasa, jamii intelligence, great thinkers, dini, jokes/udaku.
 
Mimi sitaki watu wanijue kivile sina rafiki zaidi ya husband. Marafiki wa kazini mnakwenda kula yanakwisha au kanisani

Yale mambo ya shost nifumue nywele siyataki
 
sio hivyo, umesema huna rafiki...

BTW nna kesi na wewe
Sasa marafiki gani hao wa kuonana usiku wa manane tu? Yaani mchana kutwa nashinda mwenyewe sina wa kupiga nae story ndio maana nafanya mchakato wa kupata marafiki wa mchana [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Please naomba hiyo kesi na mimi uiahirishe kwanza maana kuna mtu nimemfungulia mashtaka makubwa,utanitoa kwenye mstari wa kusimamia kesi yangu bure.
 
Back
Top Bottom