Son of a Pagan
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 359
- 542
Ni mpenzi wa jukwaa la siasa, jamii intelligence, great thinkers, dini, jokes/udaku.Hatuhitaji jua umezaliwa Nanjirinji au Magogoni!, tunachohitaji kujua ni mpenzi wa jukwaa lipi hapo tu ndio kick starter!..
[emoji23][emoji23] unasubiri nini kuchangamkaMimi pia sina marafiki ila nahisi sitakufaa maana sijachangamka [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Mimi pia sijachangamka tutafaana!..Mimi pia sina marafiki ila nahisi sitakufaa maana sijachangamka [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Njoo nikuchangamsheMimi pia sina marafiki ila nahisi sitakufaa maana sijachangamka [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Wewe utanifaa [emoji4] [emoji4] [emoji4]Mimi pia sijachangamka tutafaana!..
Nakuja [emoji126] [emoji126] [emoji126]Njoo nikuchangamshe
Sijapata wa kunichangamsha[emoji23][emoji23] unasubiri nini kuchangamka
Hebu fikiria combination unaitwa Thad Wick π π πWewe utanifaa [emoji4] [emoji4] [emoji4]
DuMimi pia sina marafiki ila nahisi sitakufaa maana sijachangamka [emoji134] [emoji134] [emoji134]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hakika itapendeza sanaHebu fikiria combination unaitwa Thad Wick π π π
Shem,mbona waguna, inamaana huamini kama sijachangamka au?
sio hivyo, umesema huna rafiki...Shem,mbona waguna, inamaana huamini kama sijachangamka au?
Sasa marafiki gani hao wa kuonana usiku wa manane tu? Yaani mchana kutwa nashinda mwenyewe sina wa kupiga nae story ndio maana nafanya mchakato wa kupata marafiki wa mchana [emoji12] [emoji12] [emoji12]sio hivyo, umesema huna rafiki...
BTW nna kesi na wewe
Hii ID ni ya kike au kiume?Nakuja [emoji126] [emoji126] [emoji126]