Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Aiseee ukimaliza kesi yako.Sasa marafiki gani hao wa kuonana usiku wa manane tu? Yaani mchana kutwa nashinda mwenyewe sina wa kupiga nae story ndio maana nafanya mchakato wa kupata marafiki wa mchana [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Please naomba hiyo kesi na mimi uiahirishe kwanza maana kuna mtu nimemfungulia mashtaka makubwa,utanitoa kwenye mstari wa kusimamia kesi yangu bure.
Sawa, ila naomba uwe shahidi wa kesi yanguAiseee ukimaliza kesi yako.
niko na wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kusoma hujui hata picha huoni? (ID inakuchanganya hata avatar huioni?)Hii ID ni ya kike au kiume?
Hahaha, humu sio pakuaminiana sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] kusoma hujui hata picha huoni? (ID inakuchanganya hata avatar huioni?)
sawa shem..halaf tangu nikwambie uje kisandukuni hadi leo umenikazia[emoji54] [emoji54]Sawa, ila naomba uwe shahidi wa kesi yangu
Ama kweli mla nawe hafi nawe, yaani tunakeshaga wote lakini huniamini?Hahaha, humu sio pakuaminiana sana
Nakuja shem...[emoji126] [emoji126] [emoji126]sawa shem..halaf tangu nikwambie uje kisandukuni hadi leo umenikazia[emoji54] [emoji54]
Mie kdg mgumu sana,kuamini ,lkn sasa nimekuaminiAma kweli mla nawe hafi nawe, yaani tunakeshaga wote lakini huniamini?
[emoji120] [emoji120] [emoji120] Kama kweli umeniamini naomba leo uje kule uwe shahidi wangu dhidi ya mtuhumiwa wanguMie kdg mgumu sana,kuamini ,lkn sasa nimekuamini
Wapi tena?shahidi nisiejua chanzo cha ugomvi,nitawezaje?[emoji120] [emoji120] [emoji120] Kama kweli umeniamini naomba leo uje kule uwe shahidi wangu dhidi ya mtuhumiwa wangu
Kule tunapokutanaga usiku....Wapi tena?shahidi nisiejua chanzo cha ugomvi,nitawezaje?
Mmh!!Mimi pia sina marafiki ila nahisi sitakufaa maana sijachangamka [emoji134] [emoji134] [emoji134]
BillNaka, wee ni Ke au Me?Habari zenu wanaJF
Nimekuwa nikiona watu wanasalimiana kwa majina, na ni dhahiri baadhi wanafahamiana kabisa.
Hali iko kipekee kwangu ambaye ni kama mwaka sasa tangu nimejiunga... sina ninayemfahamu bado.
Nahisi kuanzia leo ntapata marafiki, ambao tutajuliana hari na hata kushirikishana hili na lile katika maeneo yetu...
Kwa kifupi;
1. Mimi ni mzaliwa wa Kagera.
2. Nimesomea maeneo mbalimbali (Kagera, Kigoma, Geita, Lindi na sasa nipo Dodoma).
3. Ni kijana ninayependa marafiki waliochangamka na wakweli.
5. [emoji4][emoji4]
NB: kama hauna rafiki, unga tela hapa.
Dah,sidhani km nitaweza ,naweza kosea ,shahidi akafungwaKule tunapokutanaga usiku....
Usiogope nitakufundisha cha kusema ili nishinde kesi [emoji12] [emoji12] [emoji12]
sawa..me waiting your msgNakuja shem...[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Afadhali nimekuona carba, wahenga walisema "Adui wa adui yako ni rafiki yako, sasa naomba uwe shahidi yangu dhidi ya kina KK"Mmh!!
Thad
Naona kuna maelekezo toka juuMbona hizi thread za kutafuta kujuana zimekuwa nyingi sana?