carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Una kesi gani na KK?Afadhali nimekuona carba, wahenga walisema "Adui wa adui yako ni rafiki yako, sasa naomba uwe shahidi yangu dhidi ya kina KK"
Sijawaelewa, mnamaanisha kuwa mleta uzi anawezakuwa mtu asiyejulikana ila anayetaka ajulikane ama?Marafiki wote waliojaa facebook then uje kutafuta marafiki humu,I`m smelling something
Mbona hizi thread za kutafuta kujuana zimekuwa nyingi sana?
KK kajifanya wakili wa mtuhumiwa wangu....Una kesi gani na KK?
Hutafungwa bwana, wewe utasema tu sentensi 2 au 3 tu basiDah,sidhani km nitaweza ,naweza kosea ,shahidi akafungwa
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Asee,anza darasa kbsHutafungwa bwana, wewe utasema tu sentensi 2 au 3 tu basi
Kumbe jana hukuwepo.KK kajifanya wakili wa mtuhumiwa wangu....
Ukisimama upande wangu, nitakuwa nafunga mdomo nikiona mambo yako [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Nakufata chemba ili adui yangu asisikie,akanitibulia ushahidiAsee,anza darasa kbs
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli ule ushakuwa uwanja wa kesi tupu. Hivi Ney na Ice walimalizanaje? [emoji101][emoji101]Kumbe jana hukuwepo.
KK kashafukuzwa kazi tangu jana,hapa mwenyewe anataka kunifungulia kesi[emoji23][emoji23]
Kumbe ulikuwa unafuatilia kimya kimya eeh[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli ule ushakuwa uwanja wa kesi tupu. Hivi Ney na Ice walimalizanaje? [emoji101][emoji101]
Chemba hapana,weka link hapa nijionee?Nakufata chemba ili adui yangu asisikie,akanitibulia ushahidi
Nimepitia kidogo mchana wa leo, sikufika mwisho maana mlikimbiza uzi mpaka basi.Kumbe ulikuwa unafuatilia kimya kimya eeh[emoji23][emoji23]
Walisameheana
Naona zimebaki hiziNimepitia kidogo mchana wa leo, sikufika mwisho maana mlikimbiza uzi mpaka basi.
Bora wamesameheana ili kesi zipungue maana naona zilitaka kutuzidia sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio hizo tu pia kunaNaona zimebaki hizi
Thad na sam
Thad na KK
Mimi na KK
Jose tena?Sio hizo tu pia kuna
Thad vs. Jose
Thad vs.Demiss (hii ndo inaniumiza kichwa, nitamuweza kweli shost yule lol!)
Nitamshinda tu, akija na tunguli zake atakutana na upako kutoka kwa nabii Tito [emoji1] [emoji1]Jose tena?
Demiss hutamuweza sasa hivi tena yuko na king wa msata,juju ileee inakuita[emoji23][emoji23]
Kila la kheri.Nitamshinda tu, akija na tunguli zake atakutana na upako kutoka kwa nabii Tito [emoji1] [emoji1]
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Kila la kheri.
Tukutane kijiweni baadae[emoji112]