Sina rafiki wa karibu bado

Sina rafiki wa karibu bado

KK kajifanya wakili wa mtuhumiwa wangu....
Ukisimama upande wangu, nitakuwa nafunga mdomo nikiona mambo yako [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kumbe jana hukuwepo.
KK kashafukuzwa kazi tangu jana,hapa mwenyewe anataka kunifungulia kesi[emoji23][emoji23]
 
Kumbe jana hukuwepo.
KK kashafukuzwa kazi tangu jana,hapa mwenyewe anataka kunifungulia kesi[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli ule ushakuwa uwanja wa kesi tupu. Hivi Ney na Ice walimalizanaje? [emoji101][emoji101]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli ule ushakuwa uwanja wa kesi tupu. Hivi Ney na Ice walimalizanaje? [emoji101][emoji101]
Kumbe ulikuwa unafuatilia kimya kimya eeh[emoji23][emoji23]
Walisameheana
 
Nimepitia kidogo mchana wa leo, sikufika mwisho maana mlikimbiza uzi mpaka basi.

Bora wamesameheana ili kesi zipungue maana naona zilitaka kutuzidia sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona zimebaki hizi
Thad na sam
Thad na KK
Mimi na KK
 
Back
Top Bottom