Sina raha kinyesi changu kinatoa harufu mbaya sana

Sina raha kinyesi changu kinatoa harufu mbaya sana

Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala
Maskini ona jinsi watanzania wenzetu wanavyozidi kuwa vichaa kila kukicha..!!!
Huyu member alikuwaga mzima kabisa lakini hivi sasa ndo hivyo tena amebakiza kuokota makopo tu.!
Sijui Hiki chama kinatupeleka wapi.
 
kwan kuna kinyesi kinatoa harufu nzuri acha utot dgo wa kunusa kinyesi
 
6tag-1515006017-1348704859335052812_1515006017.jpg
hii itajusaidia sana natumain [emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom