Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Maskini ona jinsi watanzania wenzetu wanavyozidi kuwa vichaa kila kukicha..!!!Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala
Hamjamuelewa yeye kasema chake kinanuka kuliko kawaida / kupita kiasiAsee,
Nimecheka sana
Hivi kinyesi kwa wengine huwa kinanukia au?
Amejuaje kama kinanuka kuliko kawaida?Hamjamuelewa yeye kasema chake kinanuka kuliko kawaida / kupita kiasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka akitumie kwa shughuri IPI?Hamjamuelewa yeye kasema chake kinanuka kuliko kawaida / kupita kiasi
Sent using Jamii Forums mobile app