sina raha na ndoa yangu......

Ndoa hizi, yaani ni pasua kichwa
 
Mh maisha haya...miaka mitatu tu ya ndoa ameshakuwa kimburumatali? Ndoa yahitaji uvumilivu uliokithiri. Kama mmoja wapo hapo juu alivyokwambia 'Vumilia tu' ndugu yangu fimbombaya

Kama kweli hakupendi mbona haondoki?
 
Katika lolote tulifanyalo lengo ni kupata furaha,faraja na amani ndani ya nafsi, kama hilo hulipati ndani ya ndoa utalipata wapi?Kikubwa kabla ya kumwacha ni vizuri ukamwomba akusaidie kukufahamisha mambo ambayo "yamemboa" kwako ili uyafanyie kazi au ikishindikana utayafanyia kazi mbele ya safari.Amini hata kama ni ngumu wewe pia ni chanzo cha tatizo.
 
Umeona eeh nimeipenda gfsonwin kumbe na we una moyo km wng,
 
Ndio maana wanaume wengi wanapenda ready made si wa kutengeneza mwenyewe...wanaepuka majuto kama haya.

Nakumbuka baba yangu alikuwa anamcheka kaka yangu kwa kuoa form four leaver ; hakumkataza ila alikuwa anamwambia hivi wewe wasomi wote umekosa unatafuta mke wa kumpeleka shule...Ila kaka mkewe hakubadilika hata baada ya kusomeshwa.

Ila sijuhi ni kwa nini, wake za watu wengi nilosoma nao undergraduate walikuwa moto chini, kuliko mabinti ambao ni single. Wengine ndoa zilikufa...wengine nadhani walinusurika kugunduliwa na waume zao.

 

Nafikiri inachangiwa pia na kuolewa wakiwa wadogo, huenda wengi wao waume zao ndio first man na labda hawakupata muda wakujichanganya wakiwa wadada; so akipata kauhuru kidogo (chuo) ndipo anapoanza kuexprole na kugundua kuwa mbona "ya Musa ni kubwa halafu ni tamu kuliko yako" (hii nimeipata jukwaa la jokes ambapo mume alimwambia mkewe yeye peke yake ndio mwenye dudu).
 
eeh Mungu wangu,baba wa mbinguni.kama kupiga magoti mbele zako mara 1000 kutaniepusha na jambo kama hili nipo tayari kupiga magoti mara 1,000,000!!!!!!!!!!
 
...Pole sana...sasa umeshatamkiwa hivyo na mkeo unasubiri nini tena kufanya maamuzi mazito? au unataka akuletee mtoto wa nje ya ndoa?
Swali hapa ni Je, huyo mtoto mmoja anayesema wanae, Ni mwanae kweli?
 
We Kaunga.......!
 
Last edited by a moderator:
....Hapo akili mkichwa....kama hana hata kimoja ambacho wanashabihiana na mwanae basi DNA ndio itakuwa msema kweli, lakini DNA bongo longolongo ni refu sana ali mradi kumkatisha tamaa yule anayetaka kuthibitisha kama kweli yeye ni Baba wa mtoto.

Swali hapa ni Je, huyo mtoto mmoja anayesema wanae, Ni mwanae kweli?
 
Ndoa pasua kichwa mpaka kwa wachungaji.
 

Inaonekana huyu bibiye hakuwa anakupenda tangu awali bali aliwekeza kwako ili apate elimu na kazi. Sasa ameshakamilisha malengo yake na sasa anataka ampate anayempenda.
 

Itabidi nikutafute unipe tuition zaidi ya hii strategy yako.
 

Fimbombaya shida fimbo yako mbaya, amepata zilizo nzuri zinazomchapa kisawasawa eti
 
...Pole sana...sasa umeshatamkiwa hivyo na mkeo unasubiri nini tena kufanya maamuzi mazito? au unataka akuletee mtoto wa nje ya ndoa?

nadhani anataka tumsaidie kumbembeleza mkewe abadilishe uamuzi, aaaha!
 
Reactions: BAK
Yaan hiz ndoa za sasa zimeingiliwa sana mume acpokuwa tatizo mke anakuws ndo tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…