Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eeh Mungu wangu,baba wa mbinguni.kama kupiga magoti mbele zako mara 1000 kutaniepusha na jambo kama hili nipo tayari kupiga magoti mara 1,000,000!!!!!!!!!!
heshima kwenu wote,................wana jamvi,ni takribani mwaka wa tatu sasa tangu niingie ktk ndoa na mwanamke ambaye niliamini tunapendana sana,lakin mambo yamenibadilikia hasa baada ya wife kuhitimu masomo yake ambayo pia nilimgaramia kama njia ya kumkwamua kielimu na kwa maisha ya baadae kwani amebadilika na kufikia hatua ya kunitamkia kuwa ni kheli tuachane na kila mtu aishi maisha yake kwa kua kama kazi anayo na anaweza kujitegemea.na sababu kubwa iliyopelekea yote hayo ni baada ya kugundua kua anamahusiano ya kimapenzi na bwana mmoja na nilipomuuliza likanusha na kudai nisimfatilie na nimwache na maisha yake,
tuna mtoto 1,naombeni busara zenu