mnh ndoa hizi unaweza kufa na presha hivi hivi kimya kimya...watu wasijue kilichokuua.....mie nakushauri uwe unaanza kumnunulia mumeo condom wakati wa kuduu naye atumie akilkuuliza kwa nini mwambie umejua yeye si muaminifu,halafu muache kama ana adabu ataacha afanyayo na kurudi kwako....kama hana ataendelea lakini wewe utakuwa safe,nasema haya kwa sababu nahisi umeshindwa kufanya maamuzi ya kuondoka kama wanawake wengi wanavyoshindwa......mie kwangu infidelity ni deal breaker.....nikigundua umecheat naondoka nikuache ufanye utakayo.bi dada nahisi kuondoka huwezi/umeshindwa labda kwa vile una mtoto mdogo na bado unadepend kwa huyo mume cha kufanya at least play safe usije kuondoka duniani bure.