Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
YN AMKALISHE CHINI WAONGEE HALAFU AMSAMEHE!? kirahisirahisi hivyo? NACHUKIA SANA MFUMO DUME, ingekua ni huyo dada amegundulika anamahusiano na rafiki wa mume wake mumewe angemsamehe kirahisi hivyo?
Niambie pakuanzia basi mwenzangu.Una akili kama mchwa, ulifanya jambo la busara kutomuuliza
Mke hagombani na kimada wa mumewe
Kaongee na mmeo, na ukabe hadi penati kuanzia sasa.
Kuwa na rafiki kama huyo huhitaji adui.
Ukimwi ukimwi ukimwi, ongeeni yt lakini kumbukeni njia mojawapo ya kuambukizana ukimwi ni kutokuwa mwaminifu.
mnh ndoa hizi unaweza kufa na presha hivi hivi kimya kimya...watu wasijue kilichokuua.....mie nakushauri uwe unaanza kumnunulia mumeo condom wakati wa kuduu naye atumie akilkuuliza kwa nini mwambie umejua yeye si muaminifu,halafu muache kama ana adabu ataacha afanyayo na kurudi kwako....kama hana ataendelea lakini wewe utakuwa safe,nasema haya kwa sababu nahisi umeshindwa kufanya maamuzi ya kuondoka kama wanawake wengi wanavyoshindwa......mie kwangu infidelity ni deal breaker.....nikigundua umecheat naondoka nikuache ufanye utakayo.bi dada nahisi kuondoka huwezi/umeshindwa labda kwa vile una mtoto mdogo na bado unadepend kwa huyo mume cha kufanya at least play safe usije kuondoka duniani bure.
YN AMKALISHE CHINI WAONGEE HALAFU AMSAMEHE!? kirahisirahisi hivyo? NACHUKIA SANA MFUMO DUME, ingekua ni huyo dada amegundulika anamahusiano na rafiki wa mume wake mumewe angemsamehe kirahisi hivyo?
AWEKE SURA YA KAZI, huyo mume km alitaka kufanya ubazazi wake bora angefanyia mbali na mtu wa mbali ili mkewe asijue, kutembea na rafiki wa mke wake ni dharau, unyanyasaji na uongevu mkubwa, NASHAURI ADHABU KALI ZICHUKULIWE DHIDI YAKE!Ndo hivyo Da'Angel Msoffe...au wewe unadhani Da'Misguided achukue hatua gani?
Niambie pakuanzia basi mwenzangu.
Timtim asante.
KWENYE SWALA LA UZINZI SINA MSAMAHA NA M2, HATA MY MUME ANALIJUA HVY KM ANAFANYA UCHAFU WAKE ANAUFANYIA MBALI SN NA SIJAWAH KUMFUMA WL KUSIKIA, ha mi siwezi kumpenda m2 kwa moyo wangu wote hlf akanidhalilisha!Da'Angel Msoffe mbona uko mkali sana? Ushawahi kutendwa nini?
hapo sasa!ingekuwa ni mke kafanya hivyo ungesikia wanasema........piga chini fasta huyo!!! Lol
Pole sana na hayo madhila Da'Misguided. Mkalishe chini huyo mumeo uongee naye halafu umsamehe muendelee na maisha yenu.
AWEKE SURA YA KAZI, huyo mume km alitaka kufanya ubazazi wake bora angefanyia mbali na mtu wa mbali ili mkewe asijue, kutembea na rafiki wa mke wake ni dharau, unyanyasaji na uongevu mkubwa, NASHAURI ADHABU KALI ZICHUKULIWE DHIDI YAKE!
Is that you????
Asante Neema.mnh ndoa hizi unaweza kufa na presha hivi hivi kimya kimya...watu wasijue kilichokuua.....mie nakushauri uwe unaanza kumnunulia mumeo condom wakati wa kuduu naye atumie akilkuuliza kwa nini mwambie umejua yeye si muaminifu,halafu muache kama ana adabu ataacha afanyayo na kurudi kwako....kama hana ataendelea lakini wewe utakuwa safe,nasema haya kwa sababu nahisi umeshindwa kufanya maamuzi ya kuondoka kama wanawake wengi wanavyoshindwa......mie kwangu infidelity ni deal breaker.....nikigundua umecheat naondoka nikuache ufanye utakayo.bi dada nahisi kuondoka huwezi/umeshindwa labda kwa vile una mtoto mdogo na bado unadepend kwa huyo mume cha kufanya at least play safe usije kuondoka duniani bure.
kwani kasema anatafuta mzungu?mambo nee? Hebu mtafutie misguided mzungu bana
Simu yake haiguswi, labda kama nataka ugomvi wiki nzima. Huyo rafiki hata simtaki tena. Nadhani sina hata haja ya kumjulisha najua, atajua mwenyewe baadae.Mumeo anakuruhusu kushika simu yake?
Kama unaweza zipata hizo meseji kwa mumeo afu ujirushie kama unataka ushahidi.
Halafu uongee na mumeo ukiwa na ushahidi
Lakini hata kama huna ushahidi bado ongea na mmeo.
huyo dada mpotezee kata mawasiliano naye. Ila siku akikutafuta waka kuliko kifaru aliyejeruhiwa
Mweleze yooote unayoyafahamu, na vunja urafiki kabisa