hivi huyo rafiki yako yeye hana mwanaume? tabu ni haya magonjwa tu yaliyoonea mdada. walie timing hao mpk uwabambe kisawa sawa.peleleza nyendo zao,mwizi lzm ashikwe na alichoiba. wote wawili ni shameless viumbe.na uwe unamtia wivu mume kwamba huyo hawara yake kapata buzi,wakati mwingine mwambie rafiki ana buzi lina ngoma ili atoke jasho. Pole dada.:
are you trying to be a comedian or what?
unanivunja mbavu hapa...lol
I'm trying to fit in with the JF MMU crowd. I want to be accepted.
hahahahah......dah!!! We hata mwalimu wako nahisi alikuwa anaogopa kukuwekea kosa hata kama umeandika jibu lisilo sahihi!! Lol
Eti wanasemaga mwanaume hafumaniwi bali anakutwa... Afu mwanamke anafumaniwa.
Kwa nini unasema hivyo Kipipi?
hapo sasa!
Hapa hata moyo wako unajua kuwa humaanishi ulichoandika na kama kupendwa ni kucomment hivi mie nakushauri bora usipendwe....Sasa Boss, nikimuacha nitaacha wangapi? Manake nikimuacha huyu niliyenaye nikienda kwa mwingine naye atakuwa hivyo hivyo tu. Sasa nitaacha wangapi? Nitavumilia tu ili mradi anafanyia hayo mambo yake mbali na mimi.
Lol Kipipi!!! Mka mwana???Hiyo ni kama kuremba lugha tu lakini kufumaniwa kuko palepale!! Umenikumbusha kijijini kwa kina mama'angu, kuna mwanaume alifumaniwa anazini na mkaa mwana wake!! Skilizia stick zake aisee, alichunwa njiti za uchi asikwambie mtu, Sungusungu wanachapa hao heee!!!
Hapa hata moyo wako unajua kuwa humaanishi ulichoandika na kama kupendwa ni kucomment hivi mie nakushauri bora usipendwe....
"Nyani Ngabu" jina kubwa jf we hujui tu! Usiniangushe bana manake najaribu kuvaa viatu vyako na naomba mungu visinipwae!
Mhh...Hii stori hii i doubt it najaribu ku-connects dots lakini haiji...anyways wakuu endeleeni kujadili..
Kwa hiyo unataka kusema maybe hana kosa, kosa ni la mke wake? kaaz kweli kweli...kuna uzi ulitoka hapa siku si nyingi jinsi mashost wa karibu wanavotoka na waume wa rafiki zao bila hata haya
:focus: pole sana dada ila muhimu umeujua ukweli na umejua mbaya wako nani...........cha muhimu ongea na huyo mwandani wako msikilize atakueleza nn ndio uamuzi utafanya mana hapa ni vigumu kukupa ushauri mana hujaongeana huyo mwandani wako pengine akawa na sababu za msingi za kufanya ivo......inawezekana ulikua unamnyima akatafuta alternative ama shost ulimsimulia sana juu yako na huyo mumeo sasa yy atakutumia udhaifu wako ww pale uliposhindwa kumtega mumeo na kumpata .............so kabla hujachukua action yoyote nakushauri ongea na mumeo kwanza uone tatizo lilikua wapi mpaka akachuku uamuzi huo ama ni uhuni tu anao damuni
Kweli kabisa.... Asante kwa dedication.Unasema kweli Sweetlady?
Basi hebu chukua hii dedication mahsusi kwako tu!
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 29.Nimeolewa na nina mtoto mmoja. Juzi nimegundua kwamba mume wangu anatembea na mmoja wa marafiki zangu. Nilimsindikiza rafiki yangu kumuona shangazi yake mgonjwa,tukiwa pale nikataka kumkumbusha mume wangu kununua baadhi ya vitu ambavyo tulikua tunahitaji nyumbani. Nikaazima simu ya rafiki yangu kwakua yangu ilikua imeisha chaji,akanipa. Nikadial namba za mume wangu bila wasiswasi,baada ya kuandika zote nikaona kwenye screen imeandikwa mpenzi. Nikajua labda nimekosea maana nilikua natoa namba kichwani kwahiyo nikadial upya,matokeo yale yale.Nikaona nipige,ikapokelewa "mambo darling" sauti ya mume wangu bila ubishi. Kigugumizi nilichopata sikuweza kutoa neno zima.Akaishia kusema "mpenzi unakatakata ngoja ntakupigia" simu ikakata. Nilichofanya nilifuta namba nilizodial alafu nikadial simu ya dada wa kazi.
Kuchungulia msg box naona zinazotoka na kwenda kwa mpenzi zimesheni. Nikamrudishia na pale pale nikaaga.Sijamuuliza yeyote kati yao wala sijaongea na rafiki yangu since.Nafikiria nini cha kufanya.Naombeni ushauri.
Lol Kipipi!!! Mka mwana???
Kuongea ni muhimu ila asiongei nae kwa lengo la kutafuta ukweli maana amesha ujua. Amwambie tu kua amesha jua kinacho endelea, na achukue muda wa kufikiria upya hiyo ndoa.Kama usipomwambia ulichogundua utakuwa unajiumiza tu. Bora ukae naye uliongelee jambo hilo kwa utulivu na uwazi, yaani bila sauti yenye hasira ili naye asiwe aggressive na defensive. Umjulishe ulichoona kwenye simu ya rafiki yako, umwombe awe mkweli kwako, akuambie kama ana uhusiano wa kimapenzi na rafiki yako. Haitakuwa rahisi lakini ndicho unachopaswa kufanya ukitaka kuondoa wasiwasi ulio nao. Ndoa yenye furaha na kudumu haiwezekani kama mke na mume hawawasiliani.