Sina shaka na uzalendo wa CDF General Jacob Mkunda na JWTZ yake

Dalili ya mvua ni mawingu, na penye moshi pana moto.

Tulipo siyo pabaya tujitahidi kuongeza oxygen na mafuta tupate moto kamili.

Au wingu lijae liwe zito tupate mvua ya kutosha.
 
Umenena vyema
 
Kabisa, yaani utawala wanapambana na nguvu ya wananchi, na wazalendo waliopo kwenye vyombo.
Sema samia kichwa ngumu aisee, inaonekana hawakujiandaa kabisa kukabidhi nchi kwa mzalendo kipindi hiki.
Ana nafasi ya kufanya jambo kulinda heshima yake, akisubiri mambo yafike pabaya kama yanavyoenda sasa itakuwa ni vibaya
 
Unfortunately, hawezi fanya kitu kwa hiari kwasababu ya kulinda heshima yake, maana uko ni kuwatangazia kifo watu wake ikiwemo mtoto wake Abdul, kwake hii ni moment of life and death. Njia pekee ya kumtoa ni kutumia nguvu, ila kwa hiari yake icho hakiwez tokea kwa madhambi yaliyofanywa na wapendwa wake, na pengine yeye mwenyewe.
 
Upepo ni mkali sana sidhani kama atauweza
 
Mabadiliko hayaepukiki..kama vipi tuingie msituni tu tukose wote.haiwezekani nchi yetu halafu wanafaidi wachache.
 
Kabisa, yaani utawala wanapambana na nguvu ya wananchi, na wazalendo waliopo kwenye vyombo.
Sema samia kichwa ngumu aisee, inaonekana hawakujiandaa kabisa kukabidhi nchi kwa mzalendo kipindi hiki.
Chura Kiziwi 🤣🤣
 
Sio Samia sema Kikwete na genge lake. Samia ni geresha tu pale.
Kabisa, yaani utawala wanapambana na nguvu ya wananchi, na wazalendo waliopo kwenye vyombo.
Sema samia kichwa ngumu aisee, inaonekana hawakujiandaa kabisa kukabidhi nchi kwa mzalendo kipindi hiki.
 
Mabadiliko hayaepukiki..kama vipi tuingie msituni tu tukose wote.haiwezekani nchi yetu halafu wanafaidi wachache.
Mabadiliko laZima
Watanganyika sio watumwa wao, yaani tulipeka Kodi wao wakafanye anasa sisi huku hospital hazina madawa na vitanda, shule hakuna madawati, vijana hawana ajira
Rasimali zetu wauze Kwa waarabu huo utakuwa usenge
Tulipata uhuru ili Rasimali za nchi zitufaidishe wote
 
Back
Top Bottom