ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Kiukweli kuna watu wanapenda mno kushikashikaKuna watu hela yao wanaichungulia Sana mtu anaenda sokoni kununua vitu ila anashika shika Sana Mimi sinaga pigo hizo yaani nachoamini vitu vyote kavileta Mungu na kila kitu NI chema na kila mtu anastahili riziki hiyo hiyo so hata nikiwa nanunua mihogo me namwambia Tu niwekee yoyote.unawazaje kwamba kitu Fulani kina kasoro me kwangu vyote poa Tu kisiwe Tu kibovu.
Ukikutana na wafanyabiashara ambao si wakweli watakupiga sanaKuna watu hela yao wanaichungulia Sana mtu anaenda sokoni kununua vitu ila anashika shika Sana Mimi sinaga pigo hizo yaani nachoamini vitu vyote kavileta Mungu na kila kitu NI chema na kila mtu anastahili riziki hiyo hiyo so hata nikiwa nanunua mihogo me namwambia Tu niwekee yoyote.unawazaje kwamba kitu Fulani kina kasoro me kwangu vyote poa Tu kisiwe Tu kibovu.
Huna akiliKuna watu hela yao wanaichungulia Sana mtu anaenda sokoni kununua vitu ila anashika shika Sana Mimi sinaga pigo hizo yaani nachoamini vitu vyote kavileta Mungu na kila kitu NI chema na kila mtu anastahili riziki hiyo hiyo so hata nikiwa nanunua mihogo me namwambia Tu niwekee yoyote.unawazaje kwamba kitu Fulani kina kasoro me kwangu vyote poa Tu kisiwe Tu kibovu.
Ana nini sasaπ₯ΊHuna akili
Isipokuwa kwenye kitimoo ndo huwa sipendi niletewe halafu 60% NI Ile yenye mafuta mafuta Hilo chimbo nalihama..ila kuna best yangu huyo anapenda Ile mafuta mafuta vibaya mnoAna nini sasaπ₯Ί
HahahahaπππIsipokuwa kwenye kitimoo ndo huwa sipendi niletewe halafu 60% NI Ile yenye mafuta mafuta Hilo chimbo nalihama..ila kuna best yangu huyo anapenda Ile mafuta mafuta vibaya mno
Upo mkoa gani huo wanaojali kua utarudi kesho??Kiukweli kuna watu wanapenda mno kushikashika
Halafu anaondoka hanunui.
Mimi mwenyewe huwa sipendi kushikashika,namwambia niwekee kitu kizuri basi..kazi kwake..anajua asipobalance,kesho sitarudi .
π π π πMim huwa nashangaa wanunua maandaz kwenye madeli,yaan mtu anatafuta andaz kubwa mpaka anabinua deli,unachaguaje chakula wakat lengo ni kula tu,sio kwamba ni yebo yebo haitakutosha
Nipo KijijiniUpo mkoa gani huo wanaojali kua utarudi kesho??
Masoko ya huku biashara ni siku hiyohiyo.
Yaani unanunua nyanya za jero akuwazie na kesho, anakuchapa na maronya humohumo kesho watakuja wengine.
Kwa huko ni sawa, mteja mfalme. Mijini kwanza huruhusiwi kubonyabonya unaharibuNipo Kijijini
Mkuu story zako ni nyingi mkuuIsipokuwa kwenye kitimoo ndo huwa sipendi niletewe halafu 60% NI Ile yenye mafuta mafuta Hilo chimbo nalihama..ila kuna best yangu huyo anapenda Ile mafuta mafuta vibaya mno
Good ila kuna muda utakubali changamoyo hata kama ni ndogoHongera yako,
Ila Mimi hapana kwa kweli, sitaki kuwa mnafiki, mambo ya kugawana hasara na watu siwezi kwa kweli. ππ
Mimi mwenyewe ukija kwangu, chagua weeeee hata Siku nzima, kama hujapenda nenda, na sikasiriki. Ni nyie TU wateja mnajistukia, watu hawana shida.
Kwanza mi sokoni bila kuonja sitaelewa πππ mpaka siku nikahara labda nitajifunza. π₯
Machungwa bei gani? 100, natoa 100 nalikataka naonja, makali.....nasepa, mazuri nanunua. Vitunguu nipe dish nichague unipimie. Maparachichi ndio kijiwe kizima wananijua, utasikia we Dada maparachichi yenye vipele haya hapa, ππ