Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
Habari zenu.
Kama Week 3.zilizopita mpaka Leo. Nimekuwa ni mtu wa kuwa na wasiwasi mwingi,na woga. Kana kwamba. Nimefahamu kuna kitu kibaya mbele yangu.
Lakini sina tatizo lolote linalonisumbua.nakuwa ni mtu mwenye hofu sana. Na woga.
Hii hali inanifanya mpaka nisijisikie vizuri. Msaada inaweza Kuwa ni tatizo. Na nini kifanyike ili niwe kawaida.
Ni tatizo gani. Na jambo gani natakiwa kufanyaMkuu Super women 2 una tatizo kubwa mno. Kama hauna furaha na amani basi una tatizo kubwa kuliko yote. Unapaswa kufanya jambo.
Asante. Ngoja nikachekPole dear. Embu search ugonjwa wa 'depression and anxiety' upate kujielewa zaidi... For more help plz chek with me.
good advice......................Pole sana, nahisi una stress aidha distress au eustress
Jitahidi kufanya mazoezi, usipende kukaa peke yako, fanya ibada kwa imani yako pia kama una mtu wako wakaribu unaweza kumwambia hali hii inayokusumbua
Una tatizo la kukosa furaha na amani. Yapo masuluhisho mbalimbali ya kitabibu, kisaikolojia, kidini na kijamii. Kwanza, badili mazingira ya kuwepo kwako. Pili, sahau kwa muda mazingira uliyotoka. Tatu, wafahamu watu wapya wakupe mambo mapya na maneno mapya. Nne, rekebisha au badili maneno na matendo yako. Sijajifunza saikolojia mahali popote lakini naweza kukupa hiyo tiba. Imewasaidia wengi.Ni tatizo gani. Na jambo gani natakiwa kufanya
Asante sana dear. Nimeona. Ngoja nitalifanyia kazi. Ubarikiwe sanaPole dear. Embu search ugonjwa wa 'depression and anxiety' upate kujielewa zaidi... For more help plz chek with me.
Asantekemea
Pole. Yaani sina raha kabisaNi mambo yanayotokea sana,japo sio kawaida kuwa na huzuni bila ya sababu.mi huwa inantokea na kuishi hata 3 days na inapotea yenyewe ni hofu tupu but nimezoea.
Asante sana dear. Ngoja nilifanyie kaziPole sana, nahisi una stress aidha distress au eustress
Jitahidi kufanya mazoezi, usipende kukaa peke yako, fanya ibada kwa imani yako pia kama una mtu wako wakaribu unaweza kumwambia hali hii inayokusumbua
Naona kila kitu kipo sawa. Lakini nakuwa na hiyo haliKuna kitu hakiko sawa mkuu...jichunguze............................