Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
Habari zenu.
Kama Week 3 zilizopita mpaka Leo nimekuwa ni mtu wa kuwa na wasiwasi mwingi na woga kana kwamba nimefahamu kuna kitu kibaya mbele yangu.
Lakini sina tatizo lolote linalonisumbua nakuwa ni mtu mwenye hofu sana na woga.
Hii hali inanifanya mpaka nisijisikie vizuri msaada inaweza kuwa ni tatizo na nini kifanyike ili niwe kawaida.