mgangawaukoo
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 2,183
- 2,390
Hupaswi kufanyia kazi kila ushauri. Chagua ushauri mmoja tu. Ukitaka vyote, utakosa vyote au utazidi kuyakoroga mambo.Asante sana dear. Ngoja nilifanyie kazi
Asante sana. Ntayafanyi Kazi.[emoji120][emoji120]Una tatizo la kukosa furaha na amani. Yapo masuluhisho mbalimbali ya kitabibu, kisaikolojia, kidini na kijamii. Kwanza, badili mazingira ya kuwepo kwako. Pili, sahau kwa muda mazingira uliyotoka. Tatu, wafahamu watu wapya wakupe mambo mapya na maneno mapya. Nne, rekebisha au badili maneno na matendo yako. Sijajifunza saikolojia mahali popote lakini naweza kukupa hiyo tiba. Imewasaidia wengi.
hahahahahahaahah, du!Hupaswi kufanyia kazi kila ushauri. Chagua ushauri mmoja tu. Ukitaka vyote, utakosa vyote au utazidi kuyakoroga mambo.
Asante sana dear. Ngoja nifanye hivyoKuna mambo yaliyokutokea huko nyumba na hujakabiliana nayo ipasavyo unajaribu kuyasahau ila 'ur subconscious mind is not ready to let it go'. Weka mazimgira ya nyumba yako katika hali ya usafi ninaanisha punguza makororo kama yapo na uweke mziki wa instrumental kama wa Tracy Chapman itakusaidia kuteflect back. You need to deal with the hidden agendas.
Super w, hali kama hiyo humpata kila mtu. Mimi pia hali kama hii hutokea na ninakosa amani, hii huweza kuwa ni alert ya jambo lisilofurahisha mbele yako au laa.Asante. Ngoja nikachek
Asante sana. Ngoja nifanye hivyo. Afu pia mimi situmii kilevi chochote kile. Labda nilitumia kikanisababishia. Ila umenifanya nicheke.sali mamy.. me ikinitokea hiyo hali huwa na sali na sinywi pombe kabisa ... nilikunywaga pombe nikaogopa kulala nikijua nikifunga macho tu ni kaburini........
Amen. Asante sana kwa ushauri wakoPole sn huwatokea wengi. Jikeep busy sn especially socialize na watu, epuka kukaa peke yako au jikite sn kwenye mitandao kama humu. Zaidi ya yte mludie muumba kwa imani yako. Usisahau kutubu.
Hapana. Sina. Kitu chochote. KinachonisumbuaWeka wazi mapenzi yanakusumbua plus upweke!!
asante mamy. pombe maandiko yanakataza lakini kuna sehemu yanakubali sasa yananichanganya sasa naogopa kufa kama pepo ipo niende motoni navyo penda raha basi ndiyo hofu inakuja mara 200.. sigusi kabisaAsante sana. Ngoja nifanye hivyo. Afu pia mimi situmii kilevi chochote kile. Labda nilitumia kikanisababishia. Ila umenifanya nicheke.
Ya kwamba. Ukifunga macho ni kaburini. Pole [emoji23]
Asante sanaHupaswi kufanyia kazi kila ushauri. Chagua ushauri mmoja tu. Ukitaka vyote, utakosa vyote au utazidi kuyakoroga mambo.
Anataka sasa watu wasinishauri. [emoji3][emoji3]hahahahahahaahah, du!
Asante sana kwa ushauri wakoSuper w, hali kama hiyo humpata kila mtu. Mimi pia hali kama hii hutokea na ninakosa amani, hii huweza kuwa ni alert ya jambo lisilofurahisha mbele yako au laa.
Kwangu mimi huishinda hali hii kwa sala na maombi.
Naomba usitishwe na watu ikiwa wewe ni mtu wa imani fanya maombi utavuka salama.
Usipokuwa makini utatishwa na kupandikizwa imani ya ajabu na kutishwa bure.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Pole. kila mtu anapenda raha. Na kila mtu anapigania siku ya mwisho aende peponiasante mamy. pombe maandiko yanakataza lakini kuna sehemu yanakubali sasa yananichanganya sasa naogopa kufa kama pepo ipo niende motoni navyo penda raha basi ndiyo hofu inakuja mara 200.. sigusi kabisa
Vipi vyeti? Isijekuwa ndo roho anakuarifuHabari zenu.
Kama Week 3.zilizopita mpaka Leo. Nimekuwa ni mtu wa kuwa na wasiwasi mwingi,na woga. Kana kwamba. Nimefahamu kuna kitu kibaya mbele yangu.
Lakini sina tatizo lolote linalonisumbua.nakuwa ni mtu mwenye hofu sana. Na woga.
Hii hali inanifanya mpaka nisijisikie vizuri. Msaada inaweza Kuwa ni tatizo. Na nini kifanyike ili niwe kawaida.
Ni ngumu kujielewa asilimia kubwa Khali hiyo hutokea unapokuwa mpweke na hapo hapo unakuwa kama kuna kitu unapingana nacho akilini,Hapana. Sina. Kitu chochote. Kinachonisumbua
Asante. NakuchekAu nicheki 0786133416/ 0713177313 kuna mshauri nasaha ni mzuri sn atakusaidia sn.