Sina tatizo lolote lakini nakosa furaha na amani

Sina tatizo lolote lakini nakosa furaha na amani

Una tatizo la kukosa furaha na amani. Yapo masuluhisho mbalimbali ya kitabibu, kisaikolojia, kidini na kijamii. Kwanza, badili mazingira ya kuwepo kwako. Pili, sahau kwa muda mazingira uliyotoka. Tatu, wafahamu watu wapya wakupe mambo mapya na maneno mapya. Nne, rekebisha au badili maneno na matendo yako. Sijajifunza saikolojia mahali popote lakini naweza kukupa hiyo tiba. Imewasaidia wengi.
Asante sana. Ntayafanyi Kazi.[emoji120][emoji120]
 
Kuna mambo yaliyokutokea huko nyumba na hujakabiliana nayo ipasavyo unajaribu kuyasahau ila 'ur subconscious mind is not ready to let it go'. Weka mazimgira ya nyumba yako katika hali ya usafi ninaanisha punguza makororo kama yapo na uweke mziki wa instrumental kama wa Tracy Chapman itakusaidia kuteflect back. You need to deal with the hidden agendas.
Asante sana dear. Ngoja nifanye hivyo
 
Asante. Ngoja nikachek
Super w, hali kama hiyo humpata kila mtu. Mimi pia hali kama hii hutokea na ninakosa amani, hii huweza kuwa ni alert ya jambo lisilofurahisha mbele yako au laa.
Kwangu mimi huishinda hali hii kwa sala na maombi.
Naomba usitishwe na watu ikiwa wewe ni mtu wa imani fanya maombi utavuka salama.
Usipokuwa makini utatishwa na kupandikizwa imani ya ajabu na kutishwa bure.
 
sali mamy.. me ikinitokea hiyo hali huwa na sali na sinywi pombe kabisa ... nilikunywaga pombe nikaogopa kulala nikijua nikifunga macho tu ni kaburini........
Asante sana. Ngoja nifanye hivyo. Afu pia mimi situmii kilevi chochote kile. Labda nilitumia kikanisababishia. Ila umenifanya nicheke.
Ya kwamba. Ukifunga macho ni kaburini. Pole [emoji23]
 
Pole sn huwatokea wengi. Jikeep busy sn especially socialize na watu, epuka kukaa peke yako au jikite sn kwenye mitandao kama humu. Zaidi ya yte mludie muumba kwa imani yako. Usisahau kutubu.
Amen. Asante sana kwa ushauri wako
 
Asante sana. Ngoja nifanye hivyo. Afu pia mimi situmii kilevi chochote kile. Labda nilitumia kikanisababishia. Ila umenifanya nicheke.
Ya kwamba. Ukifunga macho ni kaburini. Pole [emoji23]
asante mamy. pombe maandiko yanakataza lakini kuna sehemu yanakubali sasa yananichanganya sasa naogopa kufa kama pepo ipo niende motoni navyo penda raha basi ndiyo hofu inakuja mara 200.. sigusi kabisa
 
Super w, hali kama hiyo humpata kila mtu. Mimi pia hali kama hii hutokea na ninakosa amani, hii huweza kuwa ni alert ya jambo lisilofurahisha mbele yako au laa.
Kwangu mimi huishinda hali hii kwa sala na maombi.
Naomba usitishwe na watu ikiwa wewe ni mtu wa imani fanya maombi utavuka salama.
Usipokuwa makini utatishwa na kupandikizwa imani ya ajabu na kutishwa bure.
Asante sana kwa ushauri wako
 
asante mamy. pombe maandiko yanakataza lakini kuna sehemu yanakubali sasa yananichanganya sasa naogopa kufa kama pepo ipo niende motoni navyo penda raha basi ndiyo hofu inakuja mara 200.. sigusi kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Pole. kila mtu anapenda raha. Na kila mtu anapigania siku ya mwisho aende peponi
 
Habari zenu.

Kama Week 3.zilizopita mpaka Leo. Nimekuwa ni mtu wa kuwa na wasiwasi mwingi,na woga. Kana kwamba. Nimefahamu kuna kitu kibaya mbele yangu.
Lakini sina tatizo lolote linalonisumbua.nakuwa ni mtu mwenye hofu sana. Na woga.
Hii hali inanifanya mpaka nisijisikie vizuri. Msaada inaweza Kuwa ni tatizo. Na nini kifanyike ili niwe kawaida.
Vipi vyeti? Isijekuwa ndo roho anakuarifu
 
Back
Top Bottom