Sina tatizo lolote lakini nakosa furaha na amani

Hofu ni tatizo kubwa sana, hofu huleta presha na hata ugonjwa wa msongo wa mawazo, njia pekee ya kuondokana na hofu ni maombi, kama wewe ni mkristo ukiwa katika hali hiyo piga nyimbo za praise and worship, ZINATULIZA.
 
Pole sana Mkuu Super women ebu search Bipolar disorders then ujitathimini, pia sali na omba toba yamkini kuna jambo lisilojema/ la kukuhuzunisha linakuja,
 
Unaweza ukani PM for more help
 
Hofu ni tatizo kubwa sana, hofu huleta presha na hata ugonjwa wa msongo wa mawazo, njia pekee ya kuondokana na hofu ni maombi, kama wewe ni mkristo ukiwa katika hali hiyo piga nyimbo za praise and worship, ZINATULIZA.
Asante. Mpendwa
 
Pole sana Mkuu Super women ebu search Bipolar disorders then ujitathimini, pia sali na omba toba yamkini kuna jambo lisilojema/ la kukuhuzunisha linakuja,
Asante Sana. Ngoja nifanye hivyo
 
MTU kama we ndio Wale hamsali wala kumtolea Mungu sadaka..!sijui utategemea kuishi maisha gani?zaidi ya kuishi Kwa ofu na wasiwasi?mrudie muumba wako Kwa dini yako na ufanye sala na kutoa sadaka.
 
Mgangawaukoo sihusiki na malipo namuunganisha kwa mhusika basi wataongea wao aliwah msaidia sn work mate ila sikumuuliza ni kias gan alitoa. Within 3 days kawa normal hadi leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…