Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Hofu ni tatizo kubwa sana, hofu huleta presha na hata ugonjwa wa msongo wa mawazo, njia pekee ya kuondokana na hofu ni maombi, kama wewe ni mkristo ukiwa katika hali hiyo piga nyimbo za praise and worship, ZINATULIZA.Habari zenu.
Kama Week 3.zilizopita mpaka Leo. Nimekuwa ni mtu wa kuwa na wasiwasi mwingi,na woga. Kana kwamba. Nimefahamu kuna kitu kibaya mbele yangu.
Lakini sina tatizo lolote linalonisumbua.nakuwa ni mtu mwenye hofu sana. Na woga.
Hii hali inanifanya mpaka nisijisikie vizuri. Msaada inaweza Kuwa ni tatizo. Na nini kifanyike ili niwe kawaida.