Sina tatizo lolote lakini nakosa furaha na amani

Kwanza usiseme huna tatizo, tatizo ndo hilo ulilolielezea!

Kwa uzoefu wangu, mara nyingi hali hiyo humkuta mtu ambaye ktk hatua fulani alipangilia ratiba zake na kwa namna moja ama nyingine jambo flani jingine likafanyika ambalo halikuwa ktk ratiba na kusababisha moja ya jambo ktk ratiba kufanyika tofauti na namna lilivyokuwa limekusudiwa kwa muda husika!

Inaweza kuwa yote yamefanyika sawia lakini ratiba ikibadilika japo kidogo tu ulivyokuwa umekusudia, hali hiyo ya mleta uzi hujitokeza!

Na mara nyingi si rahisi kutambua hili, tafakari vema juu ya ratiba zako za kutekeleza majukumu yako uone mahali ambapo hujatekeleza ipasanyo namna ulivyokuwa umekusudia awali!

Ahsante, hiyo hali itakutoka ukitambua chanzo chake namna nilivyokushauri!
 
Pole sana mpendwa.

Hali hii hutokana na wewe kutokuwa busy na chochote. Yaani, hauna kazi unayofanya badala yake unabaki kuwaza yajayo na yaliyopita. Hali hii hukulazimisha kutokuwa na furaha bila ya sababu yeyote.

Tafuta kitu chochote kitakachokufanya uwe busy. Kaburudike, nenda katembee na marafiki zako. Kutana na watu wapya wenye vitu vipya vya kukushirikisha na mengine mengi. Epuka mazingira ya kuwa mwenyewe kwa wakati huu.

Hali yako itarudi kama kawaida.
 
MTU kama we ndio Wale hamsali wala kumtolea Mungu sadaka..!sijui utategemea kuishi maisha gani?zaidi ya kuishi Kwa ofu na wasiwasi?mrudie muumba wako Kwa dini yako na ufanye sala na kutoa sadaka.
Umekosea sana kuhukumu. Umejuaje sitoi sadaka. Na huwa sisali
 
Mgangawaukoo sihusiki na malipo namuunganisha kwa mhusika basi wataongea wao aliwah msaidia sn work mate ila sikumuuliza ni kias gan alitoa. Within 3 days kawa normal hadi leo.
Asante. Ntakucheki
 
Pole sana Mkuu Super women ebu search Bipolar disorders then ujitathimini, pia sali na omba toba yamkini kuna jambo lisilojema/ la kukuhuzunisha linakuja,

KIONGOZI unaijua bipolar au unazungumza ufuraishe jamii,..soma Maelezo vizur ndo utoe jibu,sio unabwatabwata,..
 
Find something different to do, jitoe hata out kama unahela kdogo nenda hata mikumi katembee sku, jichanganye na marafiki, kama mkristo nenda church hudhuria jumuiya etc, una hitaj tu ku refresh akili yako
 
Asante. Ngoja nitafakari upya
 
Asante sana
 
Mtu anapo omba ushaur wenye kuweza atoe msaada c kukashfiana. Unauhakika up na unayo yasema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…