Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
- Thread starter
- #61
Asante. Kwa ushauriPumzika vya kutosha,kunywa maji ya kutosha, pia ni vizuri kwenda kufanya checkup..................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante. Kwa ushauriPumzika vya kutosha,kunywa maji ya kutosha, pia ni vizuri kwenda kufanya checkup..................
Kweli. Linanitesa.Tatizo Hili Baya Sana
AsanteNi pm kwa ushauri zaidi
Umekosea sana kuhukumu. Umejuaje sitoi sadaka. Na huwa sisaliMTU kama we ndio Wale hamsali wala kumtolea Mungu sadaka..!sijui utategemea kuishi maisha gani?zaidi ya kuishi Kwa ofu na wasiwasi?mrudie muumba wako Kwa dini yako na ufanye sala na kutoa sadaka.
Asante. NtakuchekiMgangawaukoo sihusiki na malipo namuunganisha kwa mhusika basi wataongea wao aliwah msaidia sn work mate ila sikumuuliza ni kias gan alitoa. Within 3 days kawa normal hadi leo.
Pole sana Mkuu Super women ebu search Bipolar disorders then ujitathimini, pia sali na omba toba yamkini kuna jambo lisilojema/ la kukuhuzunisha linakuja,
AsanteFuraha na Aman nnao nyumban njoo uwachukue
Unaenda kuliwaAsante. Nakuchek
Msamehe jamaa mrudiane, akiwa karibu na wewe, raha itarudi tu!Ni tatizo gani. Na jambo gani natakiwa kufanya
We utakuwa mkatoliki ...sali mamy.. me ikinitokea hiyo hali huwa na sali na sinywi pombe kabisa ... nilikunywaga pombe nikaogopa kulala nikijua nikifunga macho tu ni kaburini........
Asante. Ngoja nitafakari upyaKwanza usiseme huna tatizo, tatizo ndo hilo ulilolielezea!
Kwa uzoefu wangu, mara nyingi hali hiyo humkuta mtu ambaye ktk hatua fulani alipangilia ratiba zake na kwa namna moja ama nyingine jambo flani jingine likafanyika ambalo halikuwa ktk ratiba na kusababisha moja ya jambo ktk ratiba kufanyika tofauti na namna lilivyokuwa limekusudiwa kwa muda husika!
Inaweza kuwa yote yamefanyika sawia lakini ratiba ikibadilika japo kidogo tu ulivyokuwa umekusudia, hali hiyo ya mleta uzi hujitokeza!
Na mara nyingi si rahisi kutambua hili, tafakari vema juu ya ratiba zako za kutekeleza majukumu yako uone mahali ambapo hujatekeleza ipasanyo namna ulivyokuwa umekusudia awali!
Ahsante, hiyo hali itakutoka ukitambua chanzo chake namna nilivyokushauri!
Asante sanaPole sana mpendwa.
Hali hii hutokana na wewe kutokuwa busy na chochote. Yaani, hauna kazi unayofanya badala yake unabaki kuwaza yajayo na yaliyopita. Hali hii hukulazimisha kutokuwa na furaha bila ya sababu yeyote.
Tafuta kitu chochote kitakachokufanya uwe busy. Kaburudike, nenda katembee na marafiki zako. Kutana na watu wapya wenye vitu vipya vya kukushirikisha na mengine mengi. Epuka mazingira ya kuwa mwenyewe kwa wakati huu.
Hali yako itarudi kama kawaida.
[emoji23][emoji23]Unaenda kuliwa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]