Jamani mimi sijaja kwa utani. [emoji23][emoji23]Msamehe jamaa mrudiane, akiwa karibu na wewe, raha itarudi tu!
Asante sana.Find something different to do, jitoe hata out kama unahela kdogo nenda hata mikumi katembee sku, jichanganye na marafiki, kama mkristo nenda church hudhuria jumuiya etc, una hitaj tu ku refresh akili yako
Vizuri mno mkuuKIONGOZI unaijua bipolar au unazungumza ufuraishe jamii,..soma Maelezo vizur ndo utoe jibu,sio unabwatabwata,..
Nalala tu mda wa kawaida. Siku zote. Saa now. Na kuamka saa kumi na mbiliUsingizi je? Unalala vizuri pale unapohitaji kulala?
Asante. Ila sijui kufanya meditationPole sana,michango mingi naona inamsaada ila Unaweza kufanya meditation kama unajua
Ntafanya hivyoLazima kuna vitu vinayoendelea juu yako embu jichunguze vizur m
Maisha
Mipango
Kazi
Mahusiano
Ndugu
Nasubiri ajibu nikulipie pamoja watoa ushaur wengine unaweza Fikiri maa witchdoctor![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
yeah ngekuwa siko busy ningekupeleka Ruaha National Park, ngoja niweke ratiba vzuri.Asante sana.
Yani sina tatizo lolote linalonisumbua. Zaidi ya hili. Nililoomba ushauri. Basi.Aisee ni tatizo kutokujua nini kinakusumbua mpaka ujisikie hivyo
Uko kwenye good terms na mwenzi wako??
Hali hiyo ilinipata ila niljua nini kinasababisha so inakua rahisi pale unaposhare na mtu na ukashauriwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasubiri ajibu nikulipie pamoja watoa ushaur wengine unaweza Fikiri maa witchdoctor!
Ok muombe Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi utapata amani tuYani sina tatizo lolote linalonisumbua. Zaidi ya hili. Nililoomba ushauri. Basi.
Asanteyeah ngekuwa siko busy ningekupeleka Ruaha National Park, ngoja niweke ratiba vzuri.
ki ukweli kibinadam huwa inafika hatua, kuna kuchoka choka flan hiv so usjali
PoleMimi Nina Shida Hiyo Ila Bahati Nzuri Nimeligundua Tatizo Hivyo Nalifanyia Kazi
kuna kitu kibaya mbele yangu.
Lakini sina t