Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
- Thread starter
- #121
Umenikumbusha. Kuna siku Niliota ndoto mbaya mno.umeota ndoto gani?, huzuni mara nyingi hujulisha tukio lisilo jema lijalo, au tukio baya ulilotenda na uhahitaji toba, au unahitaji utulivu ilikuskia kitu toka kwa MUNGU, kama wewe ni Mcha MUNGU ni vizuri kuomba angalau mara tatu kwa siku, ukiomba toba na kumsihi MUNGU nini kipo mbele ya huzuni hiyo