Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
- Thread starter
-
- #121
Umenikumbusha. Kuna siku Niliota ndoto mbaya mno.umeota ndoto gani?, huzuni mara nyingi hujulisha tukio lisilo jema lijalo, au tukio baya ulilotenda na uhahitaji toba, au unahitaji utulivu ilikuskia kitu toka kwa MUNGU, kama wewe ni Mcha MUNGU ni vizuri kuomba angalau mara tatu kwa siku, ukiomba toba na kumsihi MUNGU nini kipo mbele ya huzuni hiyo
AmenPole sana ila tunae mfalme wa amani naye ni Mungu wetu muombe Mungu amani atakupa maana ameshakwisha kudhibitisha kuwa yy ni mfalme wa Amani najua atakupa amani maana amesema Amani utupayo sisi sio kama vile ulimwengu utoavyo yohana 14:27 nakutakia amani na furaha katika jina la Yesu be happy mdada
hskuna mtu labda unaisi ana ngoma alafu mlishawahi kunaaaaaaaHabari zenu.
Kama Week 3 zilizopita mpaka Leo nimekuwa ni mtu wa kuwa na wasiwasi mwingi na woga kana kwamba nimefahamu kuna kitu kibaya mbele yangu.
Lakini sina tatizo lolote linalonisumbua nakuwa ni mtu mwenye hofu sana na woga.
Hii hali inanifanya mpaka nisijisikie vizuri msaada inaweza kuwa ni tatizo na nini kifanyike ili niwe kawaida.
Ok. Ngoja nami nifanye hivi walauMi nikihisi sijielewi elewi. Stress n.k naimagine 'system yangu' imejam so narefresh. Narefresh aje sasa?
*let go off social medias.
*Nalala mapemaaa for a better next day.
*nabadili ulaji, unywaji na uvutaji.
*nakaa mwenyew tu.
Baada ya siku 1,2 tu za utulivu huo kama ni tatizo ntakuwa nshajua..nasolve nasonga mbele.
Sipaahamu. Ni nchi gani huko pmNjo ibox nikupe ushauri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imenibidi nichele tu. Hamna. Pia mimi huwa napenda kucheck afya. Nipo okhskuna mtu labda unaisi ana ngoma alafu mlishawahi kunaaaaaaa
Asanteuna wasiwasi au uoga kuliko uoga wenywe ulivyo!hilo sio tatizo kubwa jaribu tu kuwa una reason na hayo mawazo yatapotea mwisho wake
ukiikumbuka hiyo ndoto na ukapata tafsiri sahaihi waweza jua hali yako ya kiroho, na nini wapaswa kufanyaUmenikumbusha. Kuna siku Niliota ndoto mbaya mno.
asante sawaukiikumbuka hiyo ndoto na ukapata tafsiri sahaihi waweza jua hali yako ya kiroho, na nini wapaswa kufanya
asante sanaPole sana mkuu Super women 2
kivipiTatizo Limeanzia Kwenye Hili Jina Lako "Super Women"......
asantePOLE SANA, TAFUTA MTAALAMU WA SAIKOLOJIA
asantePrayers point!...