Sina tatizo lolote lakini nakosa furaha na amani

Pole. Yaani sina raha kabisa
Poleh mwaya,sijui ttz ni nini specifically ila ntakushauri kiroho,ss sijui mkristo mwenzangu,ama muislamu
Either way, PRAY. Mf unakua na Bible verses zako unasoma asbh,mchana, jioni,choose Bible verses when in anxiety or depression or worry,Google utapata jipangie uwe unasoma whenever hio hali inakupata itakupa moyo
My favorite huwa ni Zaburi 23,Sala ya Bwana,na Usijisumbue kwa neno lolote bali kila neno kusali haja zenu zijulikane na Mungu
 
asante sana
 
Nenda kwa mganga...
 
sali mamy.. me ikinitokea hiyo hali huwa na sali na sinywi pombe kabisa ... nilikunywaga pombe nikaogopa kulala nikijua nikifunga macho tu ni kaburini........
Teh teh...
Hata wewe ndugu yangu?
 
Nenda kwenye tiba za asili dada matatizo makuu hayo, hata mimi ishawai kunitokea lkn sijambo.
 
Unauliza aina gani ya mganga au nani specifikale? Nilimaanisha Mganga wa Kiafrika/Kienyeji... Kama huwa unatumia aina hiyo ya matibabu.
asante. huwa situmimi waganga wa kiafrika
 

Miaka miwili iliyopita nilikuwa na tatizo kama la kwako ila nilipo mrudie Mungu hofu na mashaka pamoja na kutokuwa na amani vilinitoweka. Utakuwa na amani na furaha unapokuwa na marafiki na ndugu kwa kupiga stori ila unapokuwa peke yako amani inatoweka na hofu kuu unakujia kwa gafla. Hutapata amani ya kudumu usipo mrudia Mungu kwa hali uliyonayo kwa sasa.
 
Hata mimi hunitokea mara nyingi, mwanzoni nilikuwa nakunywa pombe ili kujituliza. Nikaja kujua kuna bad spirits ambazo zinanifanya niwe hivyo. Siku hizi ikinitokea hiyo, natafuta sehemu ya peke yangu nawaza nimekosea wapi namwomba Mungu msamaha na kama kuna mtu anaweweseka kwa ajili yangu namtafuta naomba anisamehe. Anapotamka tu kuwa amenisamehe amani hujaa moyoni mwangu. Jichunguze rafiki yangu, utanipa jibu. Hii haina udhehebu, kwa imani yako tu
 
Upo sahihi kabisa hiyo hali hata Mimi uniaumbua sana lakini nikianza kumtafakari mungu na kutubu dhambi zangu huwa inaisha kabsa muone mungu kuwa mtoshelevu maishani mwako na kila kitu kitakuwa sawa. Kuna roho chafu huwa zinasababisha hali hiyo.
 
Nenda ukapime kipimo cha homoni cha Cortisol sijui bongo kinafanyika? Unaweza kugoogle utajua maana Yake ! Tafuta kuwa Na amani na Watu wote imeandikwa "tafuteni kuwa Na amani Na Watu wote Na huo utakatifu ambapo hakuna atakaemwona Mungu pasipo huo" ruhusu Pendo la Mungu lijae ndani yako kiasi cha Kama mito ifurikayo ndani yako, Imeandikwa "Rehema Na Kweli zisifarakane nawe , yani hata Kama Mtu amekukosea Kwa makusudi ili hali Wewe hujamkosea kabisa, yani Msihi Mungu Roho akusaidie uchukue hatua ya Imani watafute waliokukosea wambie wakusamehe Kwa kuwa ulipokuwa ukiwa Na uchungu zidi Yao , jishushe utashangaa watakuomba msahamaha na kujuta, wao wanakuogopa kuku face ukiwatafuta utawarahishia! Samehe dada Kwa faida yako Mwenyewe! Natamani nikuunganishe Na Mtumishi wa Mungu ukapate mafundisho ya kukujenga ufahamu wako! Epuka hasira kuwa Mtu wa huruma Kwa Watu wote! Hiyo itakusaidia hata Kama ni uchawi au jini hiyo hali itakuachia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…