elishaezekiel
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 563
- 1,464
Umri wako tafadhari,je kuna jambo hujalitimiza au kitu au mtu huja(ki)[m]pata?
Basi ukichunguza hicho kitu ndicho kinakupunguzia norepinephrine kwenye ubongo wako
Ya kunakitu kinaweza tokea mda wowote mwili wa mwanamke umeumbwa hivyo kuhis tatizo kabla halijatokeaHabari zenu.
Kama Week 3 zilizopita mpaka Leo nimekuwa ni mtu wa kuwa na wasiwasi mwingi na woga kana kwamba nimefahamu kuna kitu kibaya mbele yangu.
Lakini sina tatizo lolote linalonisumbua nakuwa ni mtu mwenye hofu sana na woga.
Hii hali inanifanya mpaka nisijisikie vizuri msaada inaweza kuwa ni tatizo na nini kifanyike ili niwe kawaida.
Inatakiwa afanyiwe Counseling tu na atakuwa powa, kila mtu anapitia changamoto katika maisha.Ikitokea Mtu hali ya namna hiyo ufumbuzi wake ni nini @ Mkuu? Kuna Mtu amepitia changamoto/ shida ya hivyo, je anapaswa kufanya nini?
OK. asanteYa kunakitu kinaweza tokea mda wowote mwili wa mwanamke umeumbwa hivyo kuhis tatizo kabla halijatokea
27 Year, kumbeUmri wako tafadhari,je kuna jambo hujalitimiza au kitu au mtu huja(ki)[m]pata?
Basi ukichunguza hicho kitu ndicho kinakupunguzia norepinephrine kwenye ubongo wako
as a team sanaMkuu pole sana una mental stress or anxiety.
Asante sanaNenda ukapime kipimo cha homoni cha Cortisol sijui bongo kinafanyika? Unaweza kugoogle utajua maana Yake ! Tafuta kuwa Na amani na Watu wote imeandikwa "tafuteni kuwa Na amani Na Watu wote Na huo utakatifu ambapo hakuna atakaemwona Mungu pasipo huo" ruhusu Pendo la Mungu lijae ndani yako kiasi cha Kama mito ifurikayo ndani yako, Imeandikwa "Rehema Na Kweli zisifarakane nawe , yani hata Kama Mtu amekukosea Kwa makusudi ili hali Wewe hujamkosea kabisa, yani Msihi Mungu Roho akusaidie uchukue hatua ya Imani watafute waliokukosea wambie wakusamehe Kwa kuwa ulipokuwa ukiwa Na uchungu zidi Yao , jishushe utashangaa watakuomba msahamaha na kujuta, wao wanakuogopa kuku face ukiwatafuta utawarahishia! Samehe dada Kwa faida yako Mwenyewe! Natamani nikuunganishe Na Mtumishi wa Mungu ukapate mafundisho ya kukujenga ufahamu wako! Epuka hasira kuwa Mtu wa huruma Kwa Watu wote! Hiyo itakusaidia hata Kama ni uchawi au jini hiyo hali itakuachia!
asee. niombee basi uzao wangu wa kwanza. uwe mapachaItakuwa unamapacha tumboni...
sijaambulia kitu sijaelewa unazungumzia niniWalitoa mchango wa Daniel P Mlacha
Daniel Mlacha 750,000(250,000)
Henry p Mlacha 200,000(0)
Enna p Mlacha 200,000(0)
Henry Gaudance 100,000(100,000)
Gasper Mshana 155,000(45,000)
Jeremiah Mlacha100,000(0)
Zachariah Mike 50,000(150,000)
Yeromin Mlachaa100,000
Joyce Mshana 100,000(100,000)
Beatrice J Mlacha 100,000(0)
Zacharia Mlacha 100,000(100,000)
Denis Mshana 100,000(100,000)
Tabitha Mlacha100,000(100,000)
Christina Mlacha 300,000(100,000)
Valentina Mlacha 100,000(100,000)
Delphina Amati 100,000(100,000)
Noela Amati 100,000(100,000)
Jackline julius 100,000(0)
Noela J Mlacha 100,000(150,000)
Jeremiah (lacha)i (100,000)
Joyce Mlacha 200.9u ,000(0)
Richard mshana 200,000
Yohana j Mlacha 50,000(150,000)
Joseph Mshana (100,000(100,000)
Jumla 3,605,000 o...i9h
Asante. Ngoja nikitafutePole sana mkuu, tafuta kitabu kinaitwa the power of positive thinking kimeandikwa na ian robert ukisome. Nakuhakikishia tatizo lako litakwisha, kuna mstari kwenye biblia unasema Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu soma huo mstari utakupa nguvu pia soma zaburi ya 21.
Sana bifu na mtu yoyoteKama kuna Watu uliwahi watenda Kwa hiyana, watafute utengeneze nao! Imeandikwa " mioyo yetu isipotuhukumu tunao huo ujasiri " kama nafsi yako inakushuhudia kuwa hujamtenda Mtu Kwa hiyana basi labda wamekuroga! Je una bifu na Mtu yeyote? Nenda Kwa Padre/Shekhe atakusaidia!
Hapana.Au umemfumania shemeji yetu na rafiki yako !maana nyie dada zetu mapenzi mmeyaweka mbere sana katika maisha yenu .hivyo kama umeshatendwa kubali matokeo yaishe Sister