PreGE2025 Sina tu nauli ningeenda Burkinafaso! Kampeni mpya ya "Gurudumu La Mama" yazinduliwa Dodoma!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Yaani huu mwaka huu hadi tuombe maji, hakuna kupumzika!

Ningepata nauli ningeenda Burkinafaso tu, hii nchi ukifuatilia mambo ya serikali unaeza kupata blood pressure.

===============

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amewataka Maafisa Usafirishaji Dodoma maarufu kama bodaboda kuacha kutembea na tairi zilizoisha 'kipara' kwenye pikipiki zao ambazo husababisha ajali zinazopelekea vifo na vilema vya maisha.

Mhe. Senyamule ameyasema hayo wakati akizindua rasmi kampeni ya Gurudumu la Mama eneo la Machinga Complex Jijini Dodoma yenye lengo la kupunguza ajali za Bodaboda Nchini kwa kuwawezesha Madereva Bodaboda kupata tairi mpya kwa mkopo nafuu wa kulipa taratibu taratibu.

IMG_1283.jpeg
 
View attachment 3349179
Kuna mtu anakuja kububujikwa machozi hapa
 
Burkina Faso,ndio najaribu kwenda for the past three weeks.
Na mimi pia sina nauli.
 
Wakuu,

Yaani huu mwaka huu hadi tuombe maji, hakuna kupumzika!

Ningepata nauli ningeenda Burkinafaso tu, hii nchi ukifuatilia mambo ya serikali unaeza kupata blood pressure.

===============

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amewataka Maafisa Usafirishaji Dodoma maarufu kama bodaboda kuacha kutembea na tairi zilizoisha 'kipara' kwenye pikipiki zao ambazo husababisha ajali zinazopelekea vifo na vilema vya maisha.

Mhe. Senyamule ameyasema hayo wakati akizindua rasmi kampeni ya Gurudumu la Mama eneo la Machinga Complex Jijini Dodoma yenye lengo la kupunguza ajali za Bodaboda Nchini kwa kuwawezesha Madereva Bodaboda kupata tairi mpya kwa mkopo nafuu wa kulipa taratibu taratibu.

View attachment 3349179
Goli la mama, Walevi wa mama, ng’ombe wa mama, gurudumu la mama, mama, mama, mamaaaa, mamaa. Duh hawa chawa wametuchosha na mama yao
 
Back
Top Bottom